Tukumbushane siku wabunge wa Nigeria walipozichapa kavu kavu Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukumbushane siku wabunge wa Nigeria walipozichapa kavu kavu Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Elli, Jul 26, 2011.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Haya yalijiri mwaka mmoja sasa, baada ya Wabunge wa Nigeria kuamua kuzichapa kavu kavu Huku Mh. Doris akiwa gumzo, je kuna haja ya kubadilisha mfumo wa siti za bunge letu ili kuwe na flexibility siku ikiwepo haja ya kusaidia ku-clarify issues kwa njia mbadala. Kwa wale ambao hamjawahi kuiona video hii ndio iko hapa.  Mabunge mengine ni haya hapa chini


  Hawa nao hawakuwa nyuma  Hebu pata ujuzi hapa napo pia  Kwa jinsi tunavyopenda kuiga kwanini tusiige na style hii ya mabunge yetu??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  nimezipenda hizo link naomba ujitahidi uweke ya Tz nayo
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  CCM wajanja sana, wametengeneza yale masofa ili wasinzie vzr, halafu na hii tabia ya kutengwa pia ina maana yake.
   
 4. D

  Derimto JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Najibania cd kabisa kwa ukumbusho kwa wasiopenda upumbavu na uzushi wa kisiasa baada ya kufanya kazi waliyotumwa na wananchi wanaendekeza ushoga na mipasho kwa wapinzani
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe lile bunge limetengenezwa mahususi kuzuia makonde.....duh lakini kuna muda kuna hoja zinahitaji kuwa-reinforced kwa njia hio hapo juu. sasa sijui itakuaje...
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  wakulianzisha pale bila unafiki ni tundu lissu, lema, sugu, wenje na mbowe, wengine wote waoga.

  looh! ningemsahau mdee
   
 7. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je baada ya hapo kilifuata nini, walishitakiwa au bado wako nje wanadunda mitaani?.
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Mosie iweeee, je Kafulila? Yupo Selelelii na Ole Sendeka kama ile Movi kule enzi zile kati ya Shekifu na Ole Sendeka au Millya....
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  aaahh mtaaani wanagonga kahawa pamoja tu yale si mambo ya kazinii tu, mbona rahisi tu ilikua katika harakati za kupitisha bajeti tu kama ya Ngeleja nadhani haaaaahahahaaaa
   
 10. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha! mosie ntakughambia imi. PALE BUNGENI WENGINE NI MAKELELE TU, NA IKITOKEA WAKALIANZISHA SHEKIFU NA SENDEKA WATAMALIZA HASIRA ZAO, TEH TEH TEH
   
 11. MANI

  MANI Platinum Member

  #11
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Kumbe ndio sababu !
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Hahhaaaaa Mosie iwweeee, yaani kumbe bungeni nao wana visasi vyao wanatafuta ka-loophole wazichape, basi tufanyeni mpango tuwaandalie pambano la hisani
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  mkuu masofa yana kazi nyingine nyakati za usiku kwa wale wanaokosa vyumba vya kulala mahotelini. teh teh teh! wale wabunge wakupewa huwa nao wanatoa fadhila kupitia hayo masofa.
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaa, ntaomba na mimi nikagombee huko Igunga niingie bungeni, ila sasa kupigana ndio sijui wala siwezi.
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
 16. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  naomba nielekezwe namna ya kudownload hizi video kila njia nikijaribu nashindwa
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  pole sana mpwa
   
 18. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kuhusu muundo wa mjengo we2 usiwaze..zitto aliliona hilo ndo mana akaomba waende jeshini, wakitoka jeshi hou mtiti wake ucpime..hayo masofa yasiwatishe wataruka kininja juu juu...i cant wait 2 see that
   
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2014
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  hahayayaayayayaaaaa bungeni leo tutegemeee mambo kama haya sasa
   
 20. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2014
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Njia mbadala ya kuamua
   
Loading...