Tukumbushane Nyimbo za Bongo Flava Zilizotamba enzi za 2000-2008

Mwneye wimbo wachumba 30 alijinyonga? hivi yule alikuwa na matatizo gani? du! kaazi kweli kweli!
 
hahahaha! Pole jamani. Nimemtania tu. Hivi bush party ilikuwa mwaka gani vile?



Sikumbuki bora ungeniuliza wakati Gagurito hajabadilisha Avatar labda ningekumbuka
maana nilipoingia nikafikiri nimepotea njia lol... sijui tuseme na post zake zitabadilika???
 
kuna ule wimbo unaimbwa hivi, wanasema nimedata sina hata lakusema tena x2 ooooh no! aliimba mad ice bana ile ilikuwa bonge la pini dully sikes aliimba julieta, salome na nyambizi baasi sijaona tena wimbo mzuri wake. ila daz nundaz na nipe tano kile kilikuwa kiwango cha juu ndo maana baada ya hapo wakasambaratika
 
nilikuwa muumini mzuri sana wa bwana sugu na sijawahi kukosa tape yake yoyote...nakumbuka wimbo wake ndani ya bongo alisema maneno haya...
maisha ni kujirusha unataka kuleta zako zipi,maisha yenyewe ni mafupi,ndani ya bongo...hii ilikuwa korasi.
kuna kipande anasema...
kwako maisha ni matamu,kwangu ni magumu ndo maana nilaumu.
iweje mi nirudi kijijini wakati mbunge wangu yupo mjini,anatanua na shangingi.
mi nina akili nyingi toka msingi mpaka sekondari
ila naona hatari kwenda chuo kikuu,FFU wasijenivunja miguu nitakapogoma kusoma.
mi nasema msije sema mi sikusema..
Funika ilikuwa wimbo wa ndoto ambapo huwa nahisi aliota atakuja kuwa mbunge...mistari yake inasema....
usiku naota ndoto napigana na shetani....
mchana naota ndoto natoa hotuba bungeni..
mwaka 2000 rais ni nani,ni ndoto.
 
ee bwana Nuruel & Fid Q na wimbo wa mng'aro wa silver,Kiraka Rado akijiita Uso wa mbuzi.
 
jinsi tulivyo manyema family ft juma nature,afu kuna wale watoto wa iringa waliimba hii ni bab kubwa(ilitumika pia kwenye kipindi eatv)
 
hakuna hatari wa complex RIP,Nicheki wa O ten! Dah hapa nakumbuka the cruiz ya east afrika radio enzi zileee.
 
Dah all in all Solo thang na wimbo wake Solo na mpenzi! Vina na hisia za ukweli! Solo thang upooo!
 
Sikumbuki bora ungeniuliza wakati Gagurito hajabadilisha Avatar labda ningekumbuka maana nilipoingia nikafikiri nimepotea njia lol... sijui tuseme na post zake zitabadilika???
posts za gagurito haziwezi kubadilika hata abadili username. Lol!Ukishasoma delete hii post gagurito asiione.
 
hakuna hatari wa complex RIP,Nicheki wa O ten! Dah hapa nakumbuka the cruiz ya east afrika radio enzi zileee.

Hivi ailikuwa DJ JD au DJ 45 KIng? Aiseee kuna mambo hayawezi kujirudia hata kama ni bomba!!
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Ha ha ha nakumbuka wakati huo Juma nature ni rafiki na Inspector Haron, Ay Y na Crazy GK wapo East Coast pomoko na FA, Gagwe Mob wapo juu Mbaya.
"Bara bara ya mwanza wauza samaki watajidai..." mistari ya kwenye ule wimbo wa Muungano wa Ccm na Cuf!
 
Dah all in all Solo thang na wimbo wake Solo na mpenzi! Vina na hisia za ukweli! Solo thang upooo!
Nilimpenda solo kwenye mtazamo wa afande sele, au ule wimbo wake wa simu yangu na soggy doggy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom