Tukumbushane matukio ya ujambazi/wizi/ugaidi na utata wa jitihada za wanausalama wetu

cjilo

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
884
444
WanaJF naomba tutumie uzi huu kukumbushana matukio yote ya uhalifu yaliyokuwa na majibu tata/korofi toka kwa wanausalama wetu.
 
Stakishari na sinema ya Kova eti tumewakamata!! Kazi kwelikweli

Jeshi kuna haja ya kubadili mfumo wake wa ufanyaji kazi maana tutaendelea kunyanyaswa na majambazi mapaka basi
 
Jeshi kuna haja ya kubadili mfumo wake wa ufanyaji kazi maana tutaendelea kunyanyaswa na majambazi mapaka basi

mnyanyaswe tena bado maana mmezidi kuwatukana na kuwadharau polisi acha mkojolew tu na mtakata hadi viuno
 
Back
Top Bottom