busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,332
Wasalam ...
Lugha ya malkia inayo maneno mengi ambayo husababisha "ukakasi" katika matumizi yake wengi wetu tukiyatumia visivyo ama kwa mazoea au kwa kutojua ....
Leo tutaanza na maneno yafuatayo :-
a) Stationary
b) Stationery
a) STATIONARY ( adj ) .... not moving, immobile, motionless etc
.... Hali ya kutokujongea, kubaki palepale pasipo kusogea kokote (remaining where you're without moving anywhere)
Example:
He was ordered to remain STATIONARY after being caught red - handed ....
Aliamuliwa kubaki mahali alipokuwa (kutokusogea kokote) baada ya kukamatwa katika tukio ...
b) STATIONERY ( noun ) .... writing materials, office & school materials .... such as writing pads, books, exercise books, marker pens etc ....
.... Vifaa vya kuandikia (vitumikavyo katika maofisi ama taasisi za kielimu), vifaa (visivyo vya kuandikia) ambavyo hutumika maofisini ama taasisi za kielimu) ... mfano karatasi za kuandikia, vitabu, daftari nk ....
Example:
After being enrolled for her higher education studies, her family bought for her all required STATIONERIES, then she took a flight to Nairobi.
Baada ya kudahiliwa kwa masomo yake ya elimu ya juu zaidi, familia yake ilimnunulia mahitaji yote yalotakiwa ( vifaa vya kuandikia nk), kisha akapanda ndege kuelekea Nairobi.