Tukumbushane maneno "tata" ya Lugha ya Malkia

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,249
1,332
Wasalam ...

Lugha ya malkia inayo maneno mengi ambayo husababisha "ukakasi" katika matumizi yake wengi wetu tukiyatumia visivyo ama kwa mazoea au kwa kutojua ....
Leo tutaanza na maneno yafuatayo :-
a) Stationary
b) Stationery

a) STATIONARY ( adj ) .... not moving, immobile, motionless etc

.... Hali ya kutokujongea, kubaki palepale pasipo kusogea kokote (remaining where you're without moving anywhere)

Example:
He was ordered to remain STATIONARY after being caught red - handed ....

Aliamuliwa kubaki mahali alipokuwa (kutokusogea kokote) baada ya kukamatwa katika tukio ...


b) STATIONERY ( noun ) .... writing materials, office & school materials .... such as writing pads, books, exercise books, marker pens etc ....

.... Vifaa vya kuandikia (vitumikavyo katika maofisi ama taasisi za kielimu), vifaa (visivyo vya kuandikia) ambavyo hutumika maofisini ama taasisi za kielimu) ... mfano karatasi za kuandikia, vitabu, daftari nk ....

Example:
After being enrolled for her higher education studies, her family bought for her all required STATIONERIES, then she took a flight to Nairobi.

Baada ya kudahiliwa kwa masomo yake ya elimu ya juu zaidi, familia yake ilimnunulia mahitaji yote yalotakiwa ( vifaa vya kuandikia nk), kisha akapanda ndege kuelekea Nairobi.
 
Wengi wetu hutumia neno STATIONARY mahali pa STATIONERY hivyo kupotosha maana halisi ilokusudiwa ....

Na hata wale watumiao STATIONERY .... wengi wetu humaanisha DUKA LA KUUZA HIVYO VIFAA .... hilo ni kosa katika matumizi ya hilo neno ...
 
Yeah....kwa kweli haya maneno mawili (stationAry na StationEry) yanatumiwa ndivyo sivyo sana hasa hapa Tz.

Mengine ni Saloon na Salon
 
Yeah....kwa kweli haya maneno mawili (stationAry na StationEry) yanatumiwa ndivyo sivyo sana hasa hapa Tz.

Mengine ni Saloon na Salon
Hakika ... na makosa haya yameonekana kuwa ya kawaida miongoni mwetu ... yakifanywa na wasomi pia wasosoma ....

by the way maneno nilokusudia kuyaleta baada ya "stationary" na "stationery" ni hayo uloyataja .... "saloon" na "salon" ...but si leo
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wengi wetu huchanganya matumizi wakatumia STATIONARY mahali pa STATIONERY .....

Na hata wale watumiao STATIONERY wengine bado humaanisha DUKA mahali ambapo hupatikana vifaa vya shule na ofisi .... hilo ni kosa ....

a) Ama iandikwe STATIONERIES ikimaanisha VIFAA VYA SHULE/ OFISI ambavyo hupatikana hapo ....

b) Au iandikwe STATIONERY CENTRE/SHOP ikimaanisha DUKA LA HIVYO VIFAA VYA SHULE/OFISI
 
Others use SWEAT! Instead of SWEET! TZ hii lugha ya malkia matatizo! Kuanzia ngazi ya juu kabisa, I mean kiongozi mkuu Wa nchi! DR....!?❗❕❕
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom