Tukumbushane mambo fulani fulani kwa wale waliopita shule pale..... Dosebit vous omnia

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Kwa waliosoma hapo nadhani mnkumbuka mambo ya Mwl Msungu......'Unakula kuku na mayai'

Kuna umuhimu wa kukumbuka tulikotoka na hasa tulikopita!!
 
Mwl Aldary mtaalamu wa Pure Mathematics na Mwl Shushu wa Siasa enzi zile
 
Makamu mkuu wa shule Mwl Swali akalazimwa kusema maneno yafuatayo wakati wa mgomo wa Chakula

'Sema kesho tutakula wali na nyama mmh'

Na Makamu Mkuu wa shule akarudia hivyo hivyo na kesho kweli ukapikwa wali na nyama.
 
Back
Top Bottom