TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
- Thread starter
- #21
Umekosa mengi sana hata papuchi za kontena jipya haujatafuna,inabidi urudi hata ukasome masters ya DS kama mkuu wa wilaya ile😂😂Muhuni nimepiga udsm 3 years ila sikumbuki jina hata la lecturer mmoja zaidi ya huyu jamaa alikua anapigisha sociology yuko mtandaoni mahusiano motivation speaker... nilikua nakuja kupiga pepa tu chuo na kukusanya madesa
always unanikuta na begi kuubwa mgongoni limejaa ushenzi wa mtaani tu... wakusoma walikua wananiona muhuni tu sijakaa mabibo wala main campus...
daah i wish ningejichanganyaga na life ya chuo yani sikuwaga hata na dem wa chuo mi kitaa tu...
Any way niko kitaa life linasonga mazaga yanapatikana inshallaah tutaulrudi tena kusoma tupate hizo experience zilizotupita