Tukumbushane kidogo

Free-will

Member
Aug 8, 2018
15
46
Habari ya muda huu.



Nataka tukumbushane kidogo, maana tumejisahau, kila ndugu msomaji hapa kwa namna moja au nyingine atakua anamiliki kimoja wapo Kati ya flashi au kompyuta, na kama una miliki vyote kwa pamoja hii Mada haikuhusu.


Flashi inatakiwa kutunzwa na kulindwa, flashi ni fahari kwa anaeimiliki bila flashi kazi haiwezi kufanyika, fahari ya flashi ni kutumbukizwa kwenye kompyuta, nisisitize kitu hapa,


hakikisha flashi yako unaitumbukiza kwenye kompyuta salama, kuna kompyuta ambazo bado ni mpya kabisa hazijawahi kutumbukizwa flashi, kuna kompyuta za maofisini zinalindwa na geti Kali na haziwezi kuibiwa kirahisi au kutumiwa kirahisi, kuna kompyuta za matumizi binafsi, hizi mtu ananua na kujimilikisha na kuzilinda zisitumiwe nje na kuna kompyuta za biashara, hizi zinachomekwa kila aina ya flashi kila anaetaka kuzitumia zenyewe zipo muda wowote ule ni swala la pesa yako tu unatumbukiza flashi yako unafanya kazi yako unaondoka.


Katika aina zote izo za kompyuta kuna ambazo zina ufa, kuna zenye virusi, kuna kompyuta ukichomeka tu flashi zinakufa.


Na kwa ambao mnamiliki kompyuta mtambue jambo moja, kompyuta zenu ndio maisha yenu, kompyuta zimetengenezewa mambo mbali mbali ya kuvutia kwa ndani na nje, tambua kila mtu anatamani kuchezea kompyuta yako, heshimu kompyuta yako, usiruhusu kila mtu ajaribu kutumia kompyuta yako, usiruhusu kila flashi iingie kwenye kompyuta yako, tambua jambo moja,

wenye flashi mara zote watataka kujaribu kama flashi zao ni bora na bado zipo imara, hawana sehem nyingine ya kufanya majaribio zaidi ya kwenye kompyuta yako,


Weka PIN kompyuta yako kuilinda, ruhusu flashi moja tu unayoiamini itumie kompyuta yako, kama kompyuta yako ni ya biashara hakikisha unatumia anti virus kweny kompyuta yako hii ni kwa usalama wa kwako na kwa Wateja ambao watachomeka flashi zao


Na kompyuta ambazo ni mpya kabisa si vizuri kuzichomeka flashi kabla hazijauzwa na ukizoea kuchomeka flashi tofauti tofauti kweny kompyuta yako hata zile sehem za kuchomekea flashi zinakua hazikazi vizuri na zitalegea tu


Natambua flashi inahitaji sana kompyuta ili iweze kufanya kazi, hakikisha unachomeka sehemu ambayo flashi yako haitapata madhara.


Kuna jambo nilitaka kusahau, kuna ka tabia kameingia mjini hapa ili mwenye kompyuta aonekane mjanja anakua tayari kuruhusu sehem ya kuchajishia ichomekwe flashi... OMG na wew unae chomeka flashi yako pale kuna siku utapigwa shoti ufe.

Ahsanteni sana...
 
mimi nina bahati, kila computer nayoipata inakuwa mpya, haijawahi kuchomekwa flash yoyote, mimi ndio huwa nakuwa wa kwanza kuchomeka flash yangu
 
Mimi bado natafuta pesa za kununua computer mpya Mungu akinisaidia mapema nitanunua
Kuna flash zingine ni kimeo hata ufanyaje
 
mwenye macho aone mwenye sikio amekusikia,nakuomba pia weka huu uzi kule kwenye jf technology maana unaingia kotekote
 
Tatizo hizi computer zinatamaa sana zinataka kutunzwa kwelikweli hazitosheki na flash moja

Nyengine ukitaka uzimiliki Kabisa uziweke ndani mwenye nayo anaziuza kwa bei ya juu vijana tunashindwa kuzinunua kuzimiliki


Ndo maana tunaenda mitaa ya kahumba morogoro, ambiensi, sinza, kwa wahaya pale kuna maduka bei chee ya computer yenye internet cafe tunatoa flash zetu yunafanya kazi zetu tunaondoka

Uzuri computer za pale ni automatically azitaki ufanye kazi yako mpako uwe una ant virus na zimekuwa installed na anti virus si unajua hawa virus aina ya Trojan horse wamekuwa wengi sana kweny computer na wameziua nyingi kwa hyo kwenda pale ni kupunguza gharama
 
Back
Top Bottom