Tukumbushane kazi alizofanikisha Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Pungu kabisa ww 'mtakatifu' ambaye Mungu anaendelea kukuruzuku kúpumua na kuwapaka matope watumishi wa Mungu! Mie siwezi kuwa msukule! Ile ninashaka sana na maisha yako uliyoishi...ya kimsukulesukule ndio maana kila mtu unamtamkia kilichojaza moyo na fuvu lako ' msukule!
JPM unforgettable hero, 💔 rest in eternal peace and power in the name of Might God, amen🙏!
He will surely rest in hell for atrocities and evil deeds he committed against our beautiful country Tanzania. I don't blame you and few sukuma gang members who benefitted from his poor governance, corrupt practices and un constitutional leadership.

Magufuli was not Christian by any standards. He was mentioning God but wasn't God fearing person instead he was a murderer, thief, liar, superstitious and a Devil.
 
Sasa mimi nimeyataja matano,wewe unaniambia nione. Ameshindwa kwenye miaka 6 kukamilisha hata barabara moja ya kuunganisha mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine
Mwendazake alikuwa mtu wa propaganda za uwongo
 
Sasa mimi nimeyataja matano,wewe unaniambia nione. Ameshindwa kwenye miaka 6 kukamilisha hata barabara moja ya kuunganisha mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine
Umechagua kuwa kipofu, sina muda na wewe na upungu wako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom