Tukumbushane: Hivi kwanini Nyerere alikataa J. S. Malecela asigombee urais kupitia CCM

Tatizo lako wakati Saint Ivuga alipoitisha kura ya maoni ya watu wabishi hapa JF hujui nani alishinda, ungemjuwa aliyeshinda wala usingesumbuka.
haya bwana kama hata kumjua bingwa wa ubishi ni sifa kubwa

Kusema ukweli mtu yeyote anayemtukana Nyerere ni kama ana laana
 
- Lakini sasa mbona unajichojoa mwenyewe kuliko mimi! ha! ha! ha! ha! unasema uongozi wa wazalendo ni kukwepa kulipa kodi? na posho ya Shillingi Millioni 7.5 kwa mwezi ndio kuongoza wazalendo huko? haya mkuu nimekubali!

Willie @ NYC, USA.

- Wacha vitisho wewe humliki Tanzania, ni taifa la wananchi Millioni 45, wewe ni mtu mmoja tu kama kweli una huo uwezo kwa nini usimsaidie Dr. Slaa akawa Rais?

Willie @ NYC, USA.
Usitake kubadili mada hii si thread ya Slaa jana Dr umemkejeli hadi watu wakashindwa kukushangaa,
topic hapa tuambie kama unapinga Malecela kuitwa muhuni na Nyerere ama una support na sababu zake,
maana baada ya kupokonywa tonge mdomoni ukoo wa Malecela utakuwa unausikia urais kwenye RTD tu kama inasikika NYK.
 
Lakini jee sababu ya nyerere kumkataaa j.k ilikuwa ni ileile ya kusema asubiri.......?????
 
- Unasema ni bora kukataliwa na viongozi kuliko wananchi wenyewe wenye taifa, sawa mkuu nimekusikia sana!

Willie @ NYC, USA.

Kukataliwa na viongozi wenzie inaonyesha ni jinsi asivyofaa hata kuwasogelea wananchi. Katika maisha "alichaguliwa" na wananchi wa Mtera tu, lakini nao baadae japokuwa walichelewa sana wakagundua kile ambacho viongozi wa CCM walikiona mapema.
 
- Jina langu na picha yangu na ninapoishi vipo wazi sana hapa , sasa hao wengine hawanihusu kabisaa nashangaa Mods wanakuruhusu kusema majina ya watu wasiohusika hapa maana hiyo ni crime hapa JF! Usiniingize kwenye majina na ID zisizonihusu, I hope Mods wataliona hilo na kulifanyia kazi

Willie @ NYC, USA
 
Bila shaka hata zile lugha za kuita watu Mbuzi MOD watalifanyia kazi!

Huwa kuna hiki kitufe
report-40b.png
Unaweza wasaidia MODs kufanya kazi yao
 
Usitake kubadili mada hii si thread ya Slaa jana Dr umemkejeli hadi watu wakashindwa kukushangaa,
topic hapa tuambie kama unapinga Malecela kuitwa muhuni na Nyerere ama una support na sababu zake,
maana baada ya kupokonywa tonge mdomoni ukoo wa Malecela utakuwa unausikia urais kwenye RTD tu kama inasikika NYK.

- Well, nimesema hivi kiongozi asiye muhuni hachagui wasiaidizi wahuni it takes muhuni kumchagua muhuni mwenziwe, kama ni kusikia urais kwenye radio ni wangapi Tanzania wapo kwenye hiyo list au unataka niwataje na wengine wanaousikia urais kwenye Radio? Mbona kama hufikirii kabla ya kuandika?

Willie @ NYC, USA.
 
Bila shaka hata zile lugha za kuita watu Mbuzi MOD watalifanyia kazi!

Huwa kuna hiki kitufe
report-40b.png
Unaweza wasaidia MODs kufanya kazi yao

- Nimewafahamisha tayari, niliiitwa mbuzi nikajibu vile vile kwenye hilo sina compromise hakuna mwenye ruhusa ya kutukana wengine humu ni tabia ilianza kujengwa hapa ya kutukana wasiokubali mawazo flani ni tabia mbovu sana na haifai, JF sio uwanja wa matusi ni hoja! na members wote ni sawa hakuna ubaguzi, kutukana wengine ni dalili za upunguani tuzikatae wote kwa nguvu moja!

Bro Willy! Unaporomosha mitusi hata kama unajibu shambulizi watu watashindwa kutofautisha "Nani Punguani" Ndo maana MOD wate pamoja na mapungufu yao ya impartiality huweka hii
report-40b.png
. Endeleeni kunyukana wengine tuna coca cola kubwa na karanga tunasoma.
 
Kukataliwa na viongozi wenzie inaonyesha ni jinsi asivyofaa hata kuwasogelea wananchi. Katika maisha "alichaguliwa" na wananchi wa Mtera tu, lakini nao baadae japokuwa walichelewa sana wakagundua kile ambacho viongozi wa CCM walikiona mapema.

- Halafu haya maneno yanalisaidia nini taifa mkuu? Malecela amekosa urais, Mh. Mbowe na Dr. Slaa wamekosa urais pia sasa tatizo lipo wapi mkuu? Well, leo kuna kuchoma nyama wabongo wote hapa NYC, so ngoja niwahi, later wakuu siku njema sana people!

- However: vipi bado unataka nijiunge na Chadema?

Willie @ NYC, USA.
 
- Jina langu na picha yangu na ninapoishi vipo wazi sana hapa , sasa hao wengine hawanihusu kabisaa nashangaa Mods wanakuruhusu kusema majina ya watu wasiohusika hapa maana hiyo ni crime hapa JF! Usiniingize kwenye majina na ID zisizonihusu, I hope Mods wataliona hilo na kulifanyia kazi

Willie @ NYC, USA

Mkuu kwa wale ambao hawana hizo details zako, ngoja niziweke hapa fasta fasta kabla hii thread haijafungwa tena kwa kuchakachuliwa kama zile nyingine ulizochangia, ukianzia na ile ya mwanzo kabisa ulivyojiunga na JF Machi 2009. Kwa wale ambao labda hawakujui wanaweza kupitia posts zako za mwanzo kabisa hapa: https://www.jamiiforums.com/utambulisho-member-intro-forum/25707-welcome-william-john-malecela.html

Kwa heshima na taadhima pamoja na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kujiunga na forum hii na wananchi wote ndani ya huu uwanja. Mimi ni Mtanzania mwenzenu na ni mwananchi mzalendo pia, ninaomba kuja hapa tushirikiane kuliendeleza taifa letu kwa kutoa maoni na michango kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu changa.

- Jina langu ninaitwa William J. Malecela, anwani yangu pepe ni malecela(at)msn.com na namba yangu ya simu nyumbani ni 1-914-664-1518, na pia namba yangu ya mkononi ni 1-914-473-1033, ninamkaribisha mwananchi yoyote kuwasiliana na mimi wakati wowote ule.

Kwa hayo machache, naomba nimalize kwa kusema haba na haba hujaza kibaba, maendeleo ya taifa huletwa na mawazo ya kimaendeleo ya wananchi wa taifa lile bila ya kujali ukubwa au udogo wao kitaifa na huanzia popote pale hata hapa kwenye hii forums.

Ahsanteni sana ndugu zangu.

Wenu

William J. Malecela.
 
Kwa hiyo kwa kukiri kwako kwamba uliwaita watu mbuzi, tukuweke kwenye kundi la mapunguani? Ahsante kwa kukiri kwamba wewe ni punguani, no wonder majibu yako sound like one!

- Sasa na wewe mbona unahangaika sana punguani na wewe sio one1 unaona sasa unavyojivua nguo! ha! ha! ha! ha! ah1 ha! ha1 ha1

W@NYC, USA.
 
- Sasa si wote ni raia tumjadili mbona unanizua na maneno mengi wewe mjadlili na mimi nipe haki kama mwananchi kumjadili, kama ninapomjadili Malecela kwako ninakuwa kama mlevi na wewe usiyekunywa unahangaika na kufungua mi-thread kila kona kunishambulia kwa sababu ya michango yangu, nafikiri inajisema wazi mlevi hasa ni nani kati yetu, au ninakosea?

- Otherwise una hoja nzito sana mkuuu kuliko wengine wengi!

Willie @ NYC, USA.
Unapomjadili Maelecela inakuwa ni conflict of interest unachotakiwa ni ku-declare kwanza kuwa Jumanne Melecela ni babako! then ndo ubwabwaje la sivyo ingekuwa bora watu neutral wamtetee on ur behalf! Sawa Agwe?
 
- Kwa hiyo unanishauri nisimjadili nikuachie is that right? Nitakuachia kama ndivyo unavyotaka au?

Willie @ NYc, USA.
 
Huyu jamaa mmoja mwenye udhubutu wa kuandika jina lake na maoni anabishana na a bunch of cowards behind fake names

avatar39777_1.gif
avatar39269_1.gif
avatar20833_5.gif
avatar42998_1.gif
Kwa vile serikali dhalimu ya babako can haunt them back! We si umeona UDOM wale woote waliojianika na Upinzani hawajarudishwa chuoni baada ya kufunguliwa?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom