Tukumbushane Burudani na timbwili za Ruvu Sekondari jamani miaka ya 90

kanga

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,025
492
1.Je mnakumbuka timbwili za Mwalimu Singano na harakati zake za umwagiliaji matuta ya mchicha na Nyanya wakati wa asubuhi?.Sijui mwalimu yupo au amekwisha staafu?.
2.Je habari za summit na kwenda kula miwa kwa mzee Chande kule bondeni?.Nakumbuka jaha people alivyokuwa anachapa chumvi,unga na maharage na kupeleka kijijini Ruvu?
3.Mwalimu wangu Mjale(R.I.P) naamini alikuwa ni zaidi ya mwalimu,mzazi na mtawala bora.
4.Je unakumbuka mabanda ya Nguruwe wale wa kushiba?.Nakumbuka siku moja nguruwe alichinjwa vijana wakala ile mbaya? na mhudumu mmoja the Big Mbise aliharisha karibia kufa, sijui nguruwe bado wanafugwa na harakati hizi za Ponda Issa Ponda.
-------------------------------------------------------------
Mengine endeleeni nitazidi kucngia maana na full burudani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom