Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Mkulu ES hapana hii imepinda sihitaji data wala maelezo marefu kuthibitisha kuwa sio sahihi. Nakubaliana na maelezo ya Mwalimu Kichuguu hapa chini

Haibadili anything wewe endelea unavyoamini na mimi ninaendelea kuamini ninavyoamini, wala sihitaji maelezo yako mafupi wacha marefu!
 
Mlundwa, Nuti, Tesha Baadhi ya Mabondia wa TZ waliovuma enzi hizo.

Mkuu Nyumbu,

Heshima mbele sana, yaaani hii picha zako ni clear kabisa, ninamkumbuka sana Tesha, kwa sababu alikuwa anatoka kambi moja ya Jeshi na Filbert Bay, pamoja na yule mbeba vyuma mashuhuri sana Power Benard.

Mlundwa ndiye hasa baba wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, I hope historia itampa nafasi yake huko mbele ya safari.

Ahsante sana mkuu kwa hiki kipande cha historia.
 
Dar es salaama kuna mtaa unaitwa Shaaban Robert, na vile vile kuna shule ya sekondari inayoitwa Shaaban Robert Secondary School.

Shaaban Robert alikuwa mtu mwenye akili sana na mtaalamu mwanzilishi wa fasihi ya kiswahili. Aliandika vitabu vingi sana vya riwaya (novels) pamoja na vitabu vyenye mkusanyiko wa mashairi (anthologies)

Mkuu Kichuguu,

Heshima mbele unajua niliwahi kutumia kitabu kimoja cha huyu mkulu nikiwa Primary School, saafi sana.
 
The truth is:- On the Back Cover

1. On Friday 13 February, 1998 at the instigation of a Catholic priest of Mburahati parish in Dar es Salaam, the Tanzania government ordered its para-military police force to open fire on unarmed Muslims at Mwembechai area, killing at least four of them.

2. It was soon discovered that the seditious claims made by the Catholic priest and repeatedly broadcast on a Catholic radio that Muslims were ridiculing Jesus were a sheer fabrication.

3. Muslims’ demands for an independent probe team to investigate the killings were immediately rejected by the Minister for Home Affairs. The government also banned a meeting organised by Muslim women to speak out about the sexual humiliations and indignities they suffered at the hands of male police officers while in remand prison.

In this book Dr. Njozi looks at the Mwembechai killings as a manifestation of a simmering political crisis in Tanzania. The book provides unsettling details about religious discrimination in a country which is thought by many as setting a shining example to rest of the world. Tha author’s analysis of the looming political tragedy in Tanzania is both illuminating and sympathetic.

Unachanganya mambo

MALECELA aliwatukana waislam wana vichwa maji kwenye ishu ya MABUCHA ya NGURUWE lakini maelezo yako au sijui umeyatoa wapi yanazungumzia MWEMBECHAI KILLINGS
 
Hivi nini kilichosababisha sokomoko la Mwembechai? Sikuwepo Bongo wakati huo.

1. In connection with a visit by the Anglican Archbishop of Canterbury in 1993, president Mwinyi, adhering to the secular stance towards religious issues of his predecessor Nyerere, complained about some extremely religious individuals abusing freedom of speech to create chaos in the country.

2. Archbishop Carey talked about the fundamentalist threat. Zanzibar's becoming a member of the Organization of Islamic Conference (OIC) was heavily criticized by Christian leaders, who argued that this contravened the secular constitution of Tanzania. The sharp criticism and the risk of a dissolution of the Union resulted in the Zanzibari government decision to leave OIC.

3. On some occasions, as in connection with the government crisis in Zanzibar in 1988 ( the year when the demonstrations against Sofia Kawawa took place ( Mwinyi and other representatives of the regime have pointed to Moslem groups in Zanzibar and in exile who, despite the great autonomy of the island state, are disputing the Union.

4. One of the controversial groups is the Pemba based Bismillahi who want a referendum on the Union between Zanzibar and Mainland Tanzania. A visitor to Zanzibar soon realizes that Islam is not only a private matter, although the authorities nowadays are less concerned with for example public eating and drinking during Ramadan, which have become more common because of the influx of tourists and Westerners.
 
...thread imekuwa ndefu, kumradhi kama hizi picha zilishawekwa hapo awali; Nakumbukia ajali ya kusikitisha ya MV Bukoba... R.I.P waTz wenzetu zaidi ya 1000 waliopoteza maisha; hivi wahusika walosababisha uzembe ule waliishia wapi na kesi yao?

View attachment 2260

View attachment 2261
 
...Nakumbukia ajali ya kusikitisha ya MV Bukoba... R.I.P waTz wenzetu zaidi ya 1000 waliopoteza maisha; hivi wahusika walosababisha uzembe ule waliishia wapi na kesi yao?

Walishinda kesi.

Hakukuwa na uzembe!

MV_Bukoba.jpg

Miaka minne nakala ya hukumu kesi Mv Bukoba haijatolewa

Mwanchi
7/12/2008

Na Frederick Katulanda, Mwanza

SERIKALI imekwama kukata rufaa katika kesi ya inayowahusu watuhumiwa wa ajali ya meli ya Mv Bukoba, kwa miaka minne kutokana na Mahakama Kuu, Kanda ya Mwanza, kushindwa kutoa nakala ya hukumu ya kesi hiyo, imefahamika.

Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi Jumapili, unaonyesha kuwa serikali kupitia Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Kanda ya Ziwa, imekuwa ikihangaika kupata nakala hiyo bila mafanikio.

Hali hiyo imewafanya watuhumiwa wa kesi ya ajali hiyo kushindwa kujua hatima yao ya kurejeshwa kazini huku serikali ikiinyooshea kidole mahakama kutokana na kukalia kesi hiyo.

Hukumu ya kesi hiyo ilitolewa Novemba mwaka 2004 na Jaji Juxton Malay na watuhumiwa wake watatu kuachiwa huru, mpaka sasa nakala yake haijatolewa kwa madai kwamba, haijaandikwa na Jaji husika, hivyo mahakama kushindwa kutoa nakala yake kwa serikali na washtakiwa.

Akizungumza na Mwananchi Jumapili, Mwanasheria wa Serikali, Kanda ya Mwanza, Edwin Kakolaki, licha ya kuwasilisha ombi la kukusudia kukata rufaa mara baada ya hukumu hiyo kusomwa, mpaka sasa bado serikali (mlalamikaji) inafuatilia nakala ya hukumu bila mafanikio.

"Hii inatusikitisha hata sisi, ofisi yangu imekuwa ikifuatilia kila mara kutaka kujua kama nakala hiyo imetoka ili tuweze kukata rufaa, lakini kila siku tumekuwa tukiambiwa bado, tunangoja, tatizo sasa limekuwa ni kwa washtakiwa ambao nao wamekuwa wakifika hapa kila mara kutaka kujua kwa vile kukosekana kwa nakala hiyo kunatunyima muda wa kukata rufaa na wao kutambua hatima yao, kama watarejeshwa kazini na kulipwa haki zao au la," alieleza Kakolaki.

Watuhumiwa wa kesi hiyo ni aliyekuwa nahodha wa meli hiyo, Jumanne Rume Mwiru, Prosper Lugumila pamoja na Alfonse Sambo.

Kakolaki alifafanua kuwa ofisi yake ilipeleka ombi la kukata rufaa Mei mwaka 2005, ikitarajia ikitoka nakala ya hukumu na mwenendo wa mashtaka itaendelea na utaratibu wa kukata rufaa, lakini mpaka leo bado hawajaipokea.

"Kutokana na hali hiyo, sina la kueleza kama msimamo wa serikali kwa vile sasa ni muda mrefu, nadhani mnaweza kuwasiliana na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Elieza Fereshi, ili kusikia msimamo wa serikali kutokana na kuchelewa kwa nakala hiyo," alieleza.

Hata hivyo, habari nyingine kutoka ndani ya mahakama hiyo zinaeleza kuwa, kumekuwa na udhaifu wa kuandika nakala za hukumu za kesi mbalimbali katika mahakama hiyo.

Chanzo chetu kimoja kilieleza kuwa, kwa kawaida hukumu ya kesi huwa inasomwa mahakamani ndipo hukabidhiwa kwa mahakama ili ichapwe kwa ajili ya kumbukumbu za mahakama na walalamikaji au watuhumiwa, lakini hii ilisomwa tu na jaji bila kutolewa nakala hadi sasa.

Chanzo hicho pia kimeeleza kuwa kukwama kutolewa nakala hiyo ya hukumu kumetokana na Jaji Juxton Mlay kuwa na mzigo wa kesi nzito zipatazo 70 ambazo alizihukumu zikingoja kuandikiwa hukumu licha ya kupatiwa likizo ya mwezi mmoja maalumu kwa ajili ya kazi hiyo mwaka juzi.

Alipoulizwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Elieza Feleshi alisema, wanaendelea kusubiri nakala ya hukumu ya kesi hiyo ili waweze kuangalia mwenendo wa kesi kabla ya kukata rufaa.

Alisema katika hali ya kawaida huwezi kukata rufaa bila ya kuangalia mwenendo wa kesi ulivyokuwa; na kwamba kama wataridhika na uamuzi wa hukumu hiyo wataacha na endapo hawataridhika watakata rufaa.

Feleshi alisema wanaiomba mahakama iharakishe kutoa nakala ya hukumu ili waweze kutoa uamuzi wa ama kuendelea na kesi au la.

Kama serikali haitakata tena rufaa, hatua hiyo itafungua mlango kwa washtakiwa kulipwa haki zao na hata kurejeshwa kazini na Shirika la Reli Tanzania (TRC), au Marine Services.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustino Ramadhani, aliiambia Mwananchi Jumapili kwa simu kuwa, washtakiwa hao akiwamo aliyekuwa nahodha Rume Mwiru walikwenda ofisini kwake kumwomba awasaidie kulipwa kutokana hukumu kuchelewa kutolewa.

Alisema aliiandikia barua Kampuni ya Marine akiwaelezea kuchelewa kutoa nakala ya hukumu na kwamba huenda mpaka sasa wameshalipwa haki zao.

Kuhusu kuchelewa kutoka kwa nakala ya hukumu, Jaji Ramadhani alisema kumetokana na mkorogano wa kiutendaji fulani, lakini bado wanalishughulikia kiutawala.

Hata hivyo, bila kufafanua zaidi alisema, anashughulikia Jaji aliyehusika na hukumu hiyo.

Meli ya Mv Bukoba ilizama mwaka 1996 na kuua watu zaidi ya 1,000 wakati akiwa karibu kutia nanga katika Bandari ya Mwanza mjini.
 
In 1904 the Zanzibar Government signed a contract with the American firm, Arnold Cheney and Co. to build the famous Bububu Railway. Less well know is the fact that the Americans also undertook the task of installing electrical power lines along the track right of way. This was the beginning of the general electrification of the islands.

Wherever the rails went metal poles were installed and power lines strung overhead. By 1906, long before even London obtained them, Stone Town had electric street lights

...mizingani hapa;
View attachment 2263

View attachment 2264

...sultan's palace;
View attachment 2267

...Imagine 18th century Zanzibar tayari walikuwa na umeme wao, leo hii kilio kila leo na umeme wa kidatu, Loh!!!!
 
Walishinda kesi.

Hakukuwa na uzembe!

View attachment 2262

Miaka minne nakala ya hukumu kesi Mv Bukoba haijatolewa

Mwanchi
7/12/2008

Na Frederick Katulanda, Mwanza

SERIKALI imekwama kukata rufaa katika kesi ya inayowahusu watuhumiwa wa ajali ya meli ya Mv Bukoba, kwa miaka minne kutokana na Mahakama Kuu, Kanda ya Mwanza, kushindwa kutoa nakala ya hukumu ya kesi hiyo,

...Lord, 've mercy!!!:(

roho za waTz zimekwenda bure, ikiwemo ya mshkaji wangu wa siku nyingi Nicki Rwabutaza, R.I.P
 
...Imagine 18th century Zanzibar tayari walikuwa na umeme wao, leo hii kilio kila leo na umeme wa kidatu, Loh!!!!

Hivi si nasikia kuna wakati serikali ya mapinduzi Zanzibar ilikuwa haidaiwi deni na serikali yoyote duniani, au?
 
Zanzibar wana historia ya haya;

1 Nchi? ya kwanza (huru) katika afrika kuwa na television ya rangi

2. Nchi? ya kwanza (huru) afrika kuwa na uwanja wa michezo wa kisasa ( wenye titan)

3. Nchi? ya kwanza (huru) ya afrika Rais wake kuwa na Presidential jet
 
Hivi si nasikia kuna wakati serikali ya mapinduzi Zanzibar ilikuwa haidaiwi deni na serikali yoyote duniani, au?
Hiyo ni kweli kabisa.Zaidi Marehemu Karume amewahi kunukuliwa akisema kuwa ana uwezo wa kuwapa wazenj wote dola mia kila mmoja na bado taifa hilo likawa na hazina tele kusonga mbele...
 
Hivi si nasikia kuna wakati serikali ya mapinduzi Zanzibar ilikuwa haidaiwi deni na serikali yoyote duniani, au?

Sio kutodaiwa tu, ilikuwa na foreign reserve kubwa sana kutokana na karafuu. Kipindi hicho ndio ilikuwa mzalishaji mkubwa duniani.

Rumours zilizopo ni kuwa vita vya Kagera ndivyo viliifilisi 'nchi' (!) hiyo
 
WELL,nchi kuwa na deni au kutokuwa na deni,means nothing,if that status quo does not reflect on the standard of living of her people.sasa zanzibar kutokuwa na deni and yet wananchi dont see the fruits of such position is tantamount to zero.afadhali kuwa na deni,ambalo lina rub off kwa wananchi,in terms of a higher standard living
 
Hiyo ni kweli kabisa.Zaidi Marehemu Karume amewahi kunukuliwa akisema kuwa ana uwezo wa kuwapa wazenj wote dola mia kila mmoja na bado taifa hilo likawa na hazina tele kusonga mbele...

Zanzibar wana historia ya haya;

1 Nchi? ya kwanza (huru) katika afrika kuwa na television ya rangi

2. Nchi? ya kwanza (huru) afrika kuwa na uwanja wa michezo wa kisasa ( wenye titan)

...naamini haya mawili ni kufuatia production, demand and supply ya biashara ya karafuu. Wakti huo visiwa vya karafuu na marashi ya pemba bado ni nchi ya zanzibar yenye serikali yake kamili...

3. Nchi? ya kwanza (huru) ya afrika Rais wake kuwa na Presidential jet

...shk Aboud Jumbe Mwinyi huyu, ile jet Iloibatizwa jina la "taxi", kwa siku ilikuwa ina shuttle enough hours kumpa pilot masaa ya kutosha angani "bure bure" tu.

View attachment 2271

..."kama hii..."
View attachment 2272
 
Back
Top Bottom