Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

sepali mwalimu wangu wa darasa la 5 alikuwa anafundisha sayansi.ingome mwalim wangu wa history.tenge mwalim wangu wa hisabat drsa la 7
 
chief nanga- mwl wa lg2 form6 kila akitoa mfano wa character kwenye things fall apart,lazma amtaje chief. Kilaza-mwl. wa history1 alikua anapenda kutuita vilaza,hatimae jina likamgeukia yeye. Continental drift- ticha wa jog1, hata akiwa anaadhibu wanafunzi,utaskia cont.drift hiyooo...Vinyoya-rector alikuwa anapenda kuvaa pensi kubwa na tsht alaf miguuni vinyweleo kama simba dume
 
ISNT IT, mwl wa kemia f2 alikuwa kila baada ya sentens anasema isnt it ndo likawa jina lake.
NTAKULIMA, Alikuwa akikukuta na kosa anakuambia ntakulima bakora.
KISIKIO. Sikio lake moja lilikuwa kama limekatwa
 
ISNT IT, mwl wa kemia f2 alikuwa kila baada ya sentens anasema isnt it ndo likawa jina lake.
NTAKULIMA, Alikuwa akikukuta na kosa anakuambia ntakulima bakora.
KISIKIO. Sikio lake moja lilikuwa kama limekatwa
 
Nguza au Mchonga: Headmaster wangu "O" level.
Mwalimu Kibao: Huyu alikuwa discipline master, alikuwa ameanzisha kakibao kalikoandikwa "STUPID", ilikuwa ukiongea kiswahili tu mwenzio anakupa. Siku inayofuatia akiingia darasani anaanza kuuliza "who has got a kibao?", inafuatiwa na who gave you, hadi inamfikia yule aliyeachiwa siku iliyotangulia. Baada ya hapo mnapigwa fimbo, cha kufurahisha alikuwa akiita fimbo yake "Mwajuma"! Atasema utakula kibao na saa tisa na nusu shambani!
Archimedes: Huyu alifundisha physics form two, topic yake kubwa iliyotufanya tumuite Archimedes ni ile ya principles of archimedes. Alipenda sana kuigiza maneno ya "Eureka, eureka, eureka!" Those days banaa!!
 
KUFA-Ticha wa sayansi drs la 6 n 7,akiingia 2 drsn anasema wote kufa,kufa,kufa,mnalala kwny dawati,then anapitisha fimbo za mgongo balaa.
MABAGS-sitamsahau huyu ticha akikukuta hata kariakoo anakukimbiza akikukamata anajisifu then anakuacha,anakwambia yeye akimkuta pugu boy mahali popote lazma amjue,ila alikuwa shallow sn kwny kemia,
MABESI-Ticha wa bios o-level alikuwa na sauti kama kameza sub-woofer ya kichina.
 
dirty master...mwlimu wangu wa uraia std 5 aliyekua anangia darasani kipinda cha kwanza akiwa tayari kashalewa, jina hili alipewa na mwalimu mwenzake wa kike aliyemtongoza mbele ya mwanafunzi mmbeya
suluba....alikua mwl wangu wa std 2 alikua anapenda kutumia sana kiboko
 
ikemefuna.tcha wa history.wakati naanza 4m one nlijua ndo jina lake.siku moja master kanituma kwake nilipofika nikamsalimia goodmorning ikemefuna,badala ya kunijibu yeye alichuma fimbo kimoyomoyo nikajua nmeharibu.ujumbe sikumpa wala kwa headmaster sikurudi,nikakimbia hadi bwenini uvunguni.uzuri nilikuwa bado mswaki so hakumbukaka.nlimkwepa karibia mwezi mzima na hakunikamata.
 
Manchester, alikuwa mwalimu wa malezi: aliipenda sana man u na siku man u inafungwa hata kama umechelewa kuamka bwenini unakula Spa.
 
monera -mwalimu wa bios f3
piano-mwalimu wa eng f2
tozi-mwl wa history f4huyu alikua anapenda kuvaa jins na tshirt na tai
nguvu-mwl wa history1 f5huyu alikua anatumia nguvu nyingi sana kuchapa
chaja-mwl wa lang1 f5 alikuwa anakigugumizi
beberu-mwl wa gs f6 alipenda kuita watu beberu
gaucho-mwl wa language f6 alikua na kichogo kikubwa sana



mkuu huyo mwalimu alikua anavaa JINS,TISHET NA TAI? Mmmhhhhhh!!
 
mumenikumbusha mbali
Kichwa bohora- mwl wa biology alikuwa na bichwa kama basi.
Cheki bob msoteo- mwl wa chemistry alikuwa akitembea huku akidunda ila sasa alikuwa akivaa nguo moja basi wiki nzima anavaa nguo hiyohiyo
Mfecane- mwl wa historia. Ilikuwa topic yake ya kwanza
Mabalaa- huyu alikuwa mkuu wa shule kila akija assembly lazima aseme wanafunzi tuna mabalaa
Assume- mwl wa hesabu alikuwa akipenda kusema 'assume the number...'
 
Kuna walimu walikuwa wanaitwa Mintanko na mwingine Miontini, haya ni majina yao halisi lakini f1 ukija lazima uulizwe kama umekuja na Miontini au Mintanko. It was so funny.
 
Fuvu:
huyu alikuwa discipline master. noma. mwembambaaaa kama snoop dogg.

Kisu:
Bonge la headmaster niliyewahi kumuona. Aligeuza shule iliyokuwa ya wahuni kuwa shule yenye heshima inayofaulisha kwa kiwango cha juu bila mitihani kuvuja. Huyu jina yake kamili ni Kisusange. Kuna wakati alihamaki, akauliza wanafunzi: "naskia kuna wanafunzi wananiita Kisu, hivi wewe baba yako unaweza kumuita ba?"

Mtanganyika-Mr Ndudi yeye alikuwa anajiita Mtanganyika na mliobaki wote ni watanzania!! natoka pale 2008 ndo alikuwa discpline master na Kisu ndo alikuwa anaaga!!
 
**** = headmaster mkono wa mara sec school alikuwa akija assembly kuhutubia anatingisha **** moja.
mapodo = mwalimu wa geograhia std five alikuwa akifundisha kilimo cha maharage basi yale majani ya maharage yaitwa mapodo na ndo jina likawa.
mkereketwa wa chama = huyu alikuwa mwl wa siasa o level pale iringa na kada wa ccm
 
Maximo-Mwalimu wa GS Iyunga!!Alikuwa ni mwalimu wa michezo pia na ni mrefu mwili Kabati..!!
 
Bandura- mwl wangu wa saikoloj pale udsm, alipenda sana kurejelea nadharia ya Albert Bandura darasani.
 
MANURE: adhabu yake kubwa ilikuwa kuleta samadi. Ikabidi aitwe manure. Mwingine tulimuita MR. SOOO. Alipenda kuongea sana hili neno. Mwalimu wa english F3 ilibidi tumuite SUFIX kwa sababu alianza kufundisha sufix na prefex.
 
zwangendaba-mwalimu wa history f4
joti- alikua mfupi sana
headman-mwalimu wa library, alikua na kichwa kikubwa sana.
batholith-mwalimu wa geog 1.
shodinga-mwalimu wa physic na chemistry
akabaa-mwalimu wa islamic studies
 
Back
Top Bottom