TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,673
- 1,571
Nasikia mkuu wa nchi ametaja kiasi cha ujira/mshahara anaoupata kuwa ni shilingi mil. 9.5. Watanzania tunashangilia kama mazuzu kuwa rais ni mzalendo amejipunguzia mshahara wake. Inaweza kuwa kweli lakini kuna màmbo lazima tuyajue.
1. Rais magufuli huenda kweli analipwa kiasi hiko lakini huyo ni magufuli anàyelipwa hivyo ila taasisi ya rais nchini inaliowa zaidi ya kiasi hicho kwani rais haendi dukani kununua unga wala dagaa sokoni. Mahitaji yote ya rais yapo kwenye bajet maalumu ya rais kama taasisi.
2. Watanzania lazima tutofautishe kati ya Rais Magufuli na Rais kama taasisi. Rais anaweza kujipunguzia mshahara wake anaoupata kwa mwezi, ila kuna stahiki nyingine lazima azitaje ili tujimlishe ndipo tuweze kufahamu pato lake lote la mwezi. Inawezekna kweli mil. 9.5 ndiyo mshahara wake na akatuonesha salary slips zake lakini kuna pesa nyingine hazionekani katika salary slips kama vile allowances mbalimbali.