tukumbukane kwenye Maombi hasa wanaopitia vipindi vigumu

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,841
6,109
Heshima kwenu brothers and sisters

Nina amini MMU ina member wa aina nyingi, kuna watu wa dini, wapagani na wengineo.

Tusisahau kuombeana heri hasa kwa wanaopitia vipindi vigumu as our sister SMILE aliopo kwenye tough situation as she lost her precious mother. Watu wa dini msisahau kumuweka kwenye maombi hata kwa kulitaja jina Smile aweze kupata nguvu na faraja

Nami mkata kiu nitashukuru sana Kumuweka mama yangu kwenye Maombi as nami pia nipo kwenye kipindi kigumu sana, Mama yangu yupo Apollo mda huu anafanyiwa stage 2 ya surgery yake as Stage 1 tuliifanya june this year huko huko Apollo india, naomba tumuombee pamoja marafiki ili ifanikiwe na apone kabisa. Nitashukuru sana mkiliweka Jina la Mama Mkata Kiu kwenye maombi yenu ya Kila siku.
 
Poleni sana Smile na wewe pia kwa yaliyowakuta. Tunawaombea Mungu wa Mbinguni awafariji kwa faraja zake kuu na za kipekee! Kwa mgonjwa, apone mapema, na kwa aliyefiwa uvumlivu na faraja vitawale maisha yake katika hali aliyonayo sasa.
 
Last edited by a moderator:
Mungu ni mwema atawapa faraja ya kweli beleave in him everything gonna be fine.
 
Smile Mungu wa Mbinguni na akutie nguvu, Vilevile Roho Mtakatifu awe mfariji wako hasa katika kipindi hiki kigumu,

Mkata Kiu: Mungu ni Mwaminifu sana maana amesema Yeye alitwaa udhaifu wetu na kuyachukua magonjwa yetu, amini tu Mama atapona kwa jina la Yesu Amen. Nawaombea wote muwe na Amani na Bwana yuko Upande wetu haijalishi mnapita katika vipindi gani! Amen
 
Well I know my Redeemer lives, he lives for Smile and her family through this tough time, He lives for Mkata Kiu and his Mom through this distress, He lives for Miwatamu and his wife. . .Oh yes He lives for every believer. He lives for all of us. May God be with you!
 
Haleluyaaaah

:glasses-nerdy::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
nini sasa?
:glasses-nerdy::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Heshima kwenu brothers and sisters

Nina amini MMU ina member wa aina nyingi, kuna watu wa dini, wapagani na wengineo.

Tusisahau kuombeana heri hasa kwa wanaopitia vipindi vigumu as our sister SMILE aliopo kwenye tough situation as she lost her precious mother. Watu wa dini msisahau kumuweka kwenye maombi hata kwa kulitaja jina Smile aweze kupata nguvu na faraja

Nami mkata kiu nitashukuru sana Kumuweka mama yangu kwenye Maombi as nami pia nipo kwenye kipindi kigumu sana, Mama yangu yupo Apollo mda huu anafanyiwa stage 2 ya surgery yake as Stage 1 tuliifanya june this year huko huko Apollo india, naomba tumuombee pamoja marafiki ili ifanikiwe na apone kabisa. Nitashukuru sana mkiliweka Jina la Mama Mkata Kiu kwenye maombi yenu ya Kila siku.

poleni sana kwa matatizo hayo may Jah rastafari be with you buddies..
 
Pole sana aiseeeeee!!!!!!!!!!! SO SORRY!!!!!!!!!! SASA NAJITOLEA TUFANYE LILE SWALA LA MJUKUU LIHAPPEN SOONER TO MAKE HER DREAM COME TRUE!!!!!!! Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu!!!!!!!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom