tukumbukane kwenye Maombi hasa wanaopitia vipindi vigumu

Heshima kwenu brothers and sisters

Nina amini MMU ina member wa aina nyingi, kuna watu wa dini, wapagani na wengineo.

Tusisahau kuombeana heri hasa kwa wanaopitia vipindi vigumu as our sister SMILE aliopo kwenye tough situation as she lost her precious mother. Watu wa dini msisahau kumuweka kwenye maombi hata kwa kulitaja jina Smile aweze kupata nguvu na faraja

Nami mkata kiu nitashukuru sana Kumuweka mama yangu kwenye Maombi as nami pia nipo kwenye kipindi kigumu sana, Mama yangu yupo Apollo mda huu anafanyiwa stage 2 ya surgery yake as Stage 1 tuliifanya june this year huko huko Apollo india, naomba tumuombee pamoja marafiki ili ifanikiwe na apone kabisa. Nitashukuru sana mkiliweka Jina la Mama Mkata Kiu kwenye maombi yenu ya Kila siku.

Pole sana ndugu yetu sister SMILE kwa msiba mzito,Mungu na akupe nguvu ya kuukabili ukweli,mtangulize yeye katika kila jambo.
Nawe Mkata Kiu nakuombea ujasiri na imani.Usichoke Kusugua goti kuombea afya njema kwa mzazi wetu huyo.TUKO PAMOJA!
 
Pole sana mkuu. Mungu ni mwema na mwenye rehema. Kila la kheri, stay strong kwa ajili ya mama.
Smile, pole tena mrembo. Ndo ukubwa huo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom