thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Tukubaliane kulikua na threads nyingi za kumkosoa Rais Magufuli, tena za mfululizo, kila aliejisikia alianzisha uzi ilimradi tu nae aonekane kaongea na wachangiaji baadhi lugha zao hazikua za staha hata kidogo.
Hata hivyo Rais Magufuli kaendelea kung'aa kila siku, kwa hatua mbalimbali anazochukua katika kutatua changamoto zinazowakabili wananchi, hili limejidhihilisha kwenye ziara zake za mikoa mbalimbali nchini inayoendelea, anapata sapoti kubwa sana mpaka kwa wabunge wa upinzani, ni dalili njema kwa kiongozi huyu, inaonyesha wananchi wanakubaliana nae, japo wapo wachache wasiokubaliana nae, ndo demokrasi hiyo lazima tutofautiane fikra na mitizamo.
Hivi sasa kunatofauti, ukiangalia kasi ya shutuma kwa Rais Magufuli, kabla ya maandamano haramu yalioshindwa vibaya ya Mange Kimambi, jukwaa lilisheheni karibu threads nyingi zenye lawama zisizo na msingi.
Nionavyo wameanza kulegea, kutokana na kasi ya rais na sapoti kubwa apatayo toka kwa wananchi,
naona mashambulizi yanatangatanga tu kwa sasa, mara Msigwa, mara Professor J muda si mrefu watapoteana na wataanza kuleta threads za kuvizia.
Kaza buti Rais Magufuli mahasimu wako pumzi imeanza kukata, wameanza kulimana wenyewe kwa wenyewe.