Tukubaliane: Kwa Africa Siasa ni ujasiriamali kama ujasiriamali mwingine wowote!

Leo nilikua masoma article moja inaelezea Richest presidents in Africa. yani utatamani kulia, nchi hizo most of them raia wake ni maskiiinii wa kutupwa, wanaishi chini ya dola moja. Sijui tulimkosea nini Mungu waafrika
 
Matendo na maneno ya wanasiasa Africa yanadhihirisha kuwa Siasa ni ujasiriamali.

Shtuka na upambane na hali yako!
Vinginevyo Lumumba wasingekuwa wanalipa buku saba ukionekana mjengoni, wasingesafirisha watu kwa uda kwenda kushangilia wasilolijua.
 
Ili kupata nafasi wengine huroga, kuua, kuchonganisha, kuchanjwa chale nyingi na uchafu mwingine mwingi hutendeka, bado gharama ya siasa ni ndogo sana kulinganisha na wanacholipwa mi ningeshauri posho zao zipande mara dufu.
 
Matendo na maneno ya wanasiasa Africa yanadhihirisha kuwa Siasa ni ujasiriamali.

Shtuka na upambane na hali yako!
- Nadaiwa nimewashawishi kuchukua fomu ya kugombea uongozi
- Nawasindikiza kwenda kuchukua fomu huku nikiwaimbia mapambio ya kuwasifu
- Nawachangia pesa ya kampeni, wanaita ya ukombozi
- Nawapigia kura
- Nawalindia kura zisiibiwe
- Wasiposhinda nawaambiwa wameibiwa, niandamane kushinikiza watangazwe washindi
- Nawapigia kura na kuwadekia barabara
- Nikinyimwa kibali cha kuandamana naambiwa niandamane hivyo
- Nikiandamana napigwa naumizwa, wananichukua picha wanapelekwa ULAYA ili kuwaonesha namna wanachokiita demokrasia kinavyokiukwa wakati napigwa wao wanatangaza wakiwa SEA CLIFF
- Wakishapewa pesa na wazungu, au wakipata madaraka wanapeleka WATOTO WAO DUBAI Kusoma na wake zao SHOPPING DUBAI, tena nikiuawa ndio wanafurahia sana. Picha yangu wanaifanyia SIASA za PESA.

God Wake me Up !
 
2015 nililamba 2,300,000/=

kama ifuatavyo:

a) kura za maoni kwa Makinikia nilikuwa mpambe wa mgombea X, nilimpiga 800,000 ndaani ya wiki mbili na mgombea mwingine akanigoa 300,000/= na wote waliangukia pua msela nikapeta. hata simu zangu hawapokeagi, watajijua wenyewe.

b) mgombea mmoja aliyeshinda kwa Makinikia ikabidi apeperushe bendera, nikajipendekeza na kunipa route! nikamgonga 1.2m kwa mafungu matatu. nae kwa sasa no NW na yupo busy kwa kisingizio eti JP anabana hata mchongo tuliokubaliana kunipa gepu la uafisa elimu ameshindwa. changu nimevuna.

pesa hiyo nilinunua bodaboda na inaniingizia buku 6 kila siku. huku nami nakomaa na chaki.

NB: sijutii kujipendekeza, hata 2020 najiunga kambi yenye pesa, sikosi m3 kwa namna yoyote.

siasa oyee!
 
Ujasiria,......mali mzuri sana
 
- Nadaiwa nimewashawishi kuchukua fomu ya kugombea uongozi
- Nawasindikiza kwenda kuchukua fomu huku nikiwaimbia mapambio ya kuwasifu
- Nawachangia pesa ya kampeni, wanaita ya ukombozi
- Nawapigia kura
- Nawalindia kura zisiibiwe
- Wasiposhinda nawaambiwa wameibiwa, niandamane kushinikiza watangazwe washindi
- Nawapigia kura na kuwadekia barabara
- Nikinyimwa kibali cha kuandamana naambiwa niandamane hivyo
- Nikiandamana napigwa naumizwa, wananichukua picha wanapelekwa ULAYA ili kuwaonesha namna wanachokiita demokrasia kinavyokiukwa wakati napigwa wao wanatangaza wakiwa SEA CLIFF
- Wakishapewa pesa na wazungu, au wakipata madaraka wanapeleka WATOTO WAO DUBAI Kusoma na wake zao SHOPPING DUBAI, tena nikiuawa ndio wanafurahia sana. Picha yangu wanaifanyia SIASA za PESA.

God Wake me Up !

Mkuu hao wanaokuambia ni wazalendo watoto wao wanasoma shule za kata? Umewahi kumuona mtoto wa waziri kwenye dispensary ya kijiji? Wenzako wako kwenye Mavx, wanapata mishahara mikubwa na huku huduma kibao wakipata bure. Ww baki unaimbishwa uzalendo uchwara wenzako wanakamua.
 
Wengine walishatangaza hadharani kwamba hawawezi kupeleka watoto wao shule za kata. Kwanza hata huku jimboni huwa hawaonekani isipokuwa wakati wa kampeni tu, tukiwaambia watuchimbie hata kisima cha maji wanasema HAWANA PESA huku wakiporomosha magorofa Dar es Salaam !

- Na kibaya zaidi hawapendi kuona tunavyoishi kwa AMANI wanajaribu kutuchonganisha na kutugombanisha kila siku, wanalilia kila siku nchi iingie kwa machafuko ili hata wagawane madaraka
 
Wataje hao viongozi kisha uweke na list ya mawaziri wote utaje na shule za kata wanazosoma watoto wao hapa nchini, halafu mbele ya hilo jedwali utaje na mahali walipochimba visima huko majimboni mwao.
 
Mjadala unaendelea.

Nasikia huko India ukitaka watu waandamane kisiasa unawapa hela bila hivyo hawaandamani
 
Matendo na maneno ya wanasiasa Africa yanadhihirisha kuwa Siasa ni ujasiriamali.

Shtuka na upambane na hali yako!
Hill liko wazi. Insingekuwa ujasiriamali ni upendo tu wa kuongoza watu basis wangelikuwa wanaongoza bure bila kulipwa mishahara na posho lukuki.
 
Wataje hao viongozi kisha uweke na list ya mawaziri wote utaje na shule za kata wanazosoma watoto wao hapa nchini, halafu mbele ya hilo jedwali utaje na mahali walipochimba visima huko majimboni mwao.
Wanasiasa wote wala hata hakuna haja ya kutaja majina, wanafahamika
 
Ulitaka kuleta siasa nyepesi, tumekubana umejikuta inakubidi kukata tawi ulilokalia. Acha siasa za kipuuzi dogo.
 
Kabisa best umeongea ukweli kiwango cha gold

SONY Xperia Z5 Premium
 
Back
Top Bottom