Tukubaliane kuijenga nchi lakini sio kwa siacha uchwara

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,120
2,000
Kwanza kabisa shukrani zimwedee mwenyezi Mungu kwa Uhai anaotupatia, bila yeye hakika tusingeweza kuja hamu JF kuleta mawazo yetu.

Ni rejee kwenye mada,
Kama watanzania wenye malengo na nchi yetu ifikie hatua tuache kupelekwa pelekwa kama Meli isiyokuwa na nahodha. Tuamue kufanya kazi kwa manufaa ya familia zetu na nchi Yetu kwa ujumla. Yanayoendelea kwenye ulingo wa siasa ni maingizo na filamu kali zaidi ya ISIDINGO.

Inapotokea Rais akawatumbua wanaoshindwa kuendana na kasi yake maana yake akiwaacha watafanya Manyanga ambayo kesho yataligharimu Taifa. Na kwa sababu hataki kuona manyanga hayo yakifanyika kwenye uongozi wake ndio maana Tumbua Tumbua haziishi kila kukicha. Hapa namaanisha Makosa ya wateule wake moja kwa moja yatakuwa ni yake kama atayaona na akakaa kimya bila kuchukua hatua. Mfano dhahiri ni majuzi tu kwa kilichomkuta Prof. Muhongo.

Sasa inapotokea Rais aliyeko madarakani, kwa macho yanayotazama na kuona, kwa kichwa kinachofikiri na kutafakari huku akisaidiwa na USALAMA WA TAIFA, anapoyaona maovu, au kupewa taarifa za maovu, akaamua kukaa kimya bila kuchukua hatua zozote kwa nini asilaumiwe? Tunapata wapi ujasiri wa kumkingia kifua kuwa yeye hausiki huku wateule wake tukiwawajibisha?

Sasa hivi kila waziri na wateule wengine wa Rais wanatenda kazi zao kulingana na Matakwa ya Rais. Nape alienda kinyume na matakwa akatumbuliwa mara moja. Kilango naye yalimkuta,

Swali: "Kama Rais wa sasa anataka wateule wake waendane na matakwa yake, na analisimamia hilo - (eti kwa maslahi ya Taifa), amejuaje kuwa hao mawaziri na wateule wa Marais waliomtangulia walikuwa hawaendani na kasi za Marais waliokuwa madakani?"

Nawasilisha.
 

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,305
2,000
Umeongea point sana mkuu, na tuzidi kumuombea Tz afya njema.Huyu Lisu na chadema:
ndio waliosaini mikataba mibovu..
lisu na chadema ndio waliopeleka sheria za madini na gesi kwa hati ya dharura bungeni...
lisu na chadema ndio waliowafukuza upindani bungeni ili waitikie ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo kiulaini...
lisu na chadema ndio waliodharau na kuponda maelekezo ya wapinzani wakat upinzani ulipopiga kele kuzuia mikata mibovu...
lisu na chadema ndio waliomweka Lisu na upinzani kolokoloni kwa kosa la kupinga mikataba mibovu.
lisu na chadema ndio wanaoigiza mazingaombwe ya uzalendo ili kukiinua chama cha makanikia(ccm).
lisu na chadema ndio matapeli wakubwa kwa miaka 20 kwa kuwatapeli watanzania kusainisha mikataba mibovu ya kuliibia taifa.
lisu na chadema ndio wanafanya usanii wa uzalendo ili waendelee kutapeli taifa miaka mingine mingi.
Lisu na chadema ndio wametutapeli ununuzi wa ndege mpaka CAG anaogopa kukagua taratibu za manunuzi.
lisu na chadema ndio waliosaini kuuza nyumba za serikali kwa bei ya sifuri.
Lisu na chadema ndio matapeli hatari wa tanzania kwa miaka zaidi ya 50, kwan wanataka kutumia uharamia walioufanya huko mwanzo ili kutafuta kiki ya kuendelea kutawala na kuendelea kufanya uharamia wa raslimali za nchi milele...whisho nch itabaki na mabua bila mbolea.
JamiiForums hebu apumzishwe Huyu Anafanya SPAMING na Ku comment kwa Kutumia hii Comment kwa kila Thread hebu mpeni Siku 7
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom