Tukubali ukweli, CHADEMA tumemkosea Rais Samia

Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao.

Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia

Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna.

This is shamefulness.
Una ujinga mkubwa!
 
Rais Samia Suluhu baada ya kuchukua madaraka mwelekeo wake kisiasa ulikuwa unapunguza nguvu za CHADEMA kisiasa. Kina Mbowe na Tundu Lissu wakaona huu ndio mwisho wao wa kisiasa ikabidi waanzishe hili suala la Katiba na maandamano. Kwa kifupi CHADEMA ni chama kinaendeshwa na wahuni sio wanasiasa lazima serikali iwe na msimamo mkali na chama hiki kwa Amani na Umoja wa Taifa hili
 
Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao.

Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia

Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna.

This is shamefulness.

Hauna hata aibu? Samia alikuwa maaidizi wa:

1. Uharibifu wa uchaguzi wa serikali za Miata 2019.
2. Uchaguzi wa hovyo kutokea Africa wa mwaka 2020.
3. Uonevu wote wa Serikali ya awamu ya tano!

Wakati Mbowe anasema never and ever again alikuwa anaiangalia katiba mpya, maana ndo kitu pekee chaweza hakikisha hayo!

Sasa nakushauri wewe amia IST au ACT Wazalendo; chadema hapakufai kabisa ili uendelee na ustaarabu wako!
 
Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao.

Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia

Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna.

This is shamefulness.
Tunahitaji tusome zaidi. Kwa kuanzia, google vitabu vya mtandaoni kwa kuingiza: 'political philosophy'.
 
Back
Top Bottom