Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,316
- 24,183
Dar es salaam ndani ya miaka hii mitatu ya Magufuli imebadilika sana.
Ni kweli miradi mingine ilikuwa carry over toka Awamu ya Nne kama Mabasi na miundombinu ya mwendokasi, daraja la Kigamboni n.k.
Lakini tumeona upanuzi wa kufumba na kufumbua AH Mwinyi rd Morrocco~Mwenge, Flyover ya Mfugale, Interchange ya Ubungo.
Sasa Expressway ya Ubungo na tunarudi Selander II.
Sijasema ya SGR na Stiegler!
Tule nyasi, Magufuli baba ,Dar haitokuwa ile uliyoikuta.
Tumpe hongera na moyo wana Dar.