Watu tunahitaji kulijua hilo kuwa kila kitu tumemwachia yeye atusaidie na ndio maana ya kura tuliyompatia kwa kujua au kwa kutojua, tulimwambia afanye kwa niaba yetu!.
Hivi unafiri yanayofanyika si matakwa, maelekezo yake, n.k. ni jambo gani linaweza likafanyika ndani ya nchi hii na Serikali hii ambalo si matakwa au maelekezo yake likafanyika?.
Tusione huu ukimya wa wazee wetu wastaafu Serikalini na kwenye chama cha mapinduzi wamekaa kimya, wanajua kuwa nchi, Taifa na Serikali hii ni mali ya JPM kwa sasa tumuache atusaidie kuiongoza nchi hii.
Tusione huu ukimya wa viongozi wa vyama vya upinzani, nao wameanza kujua kuwa hii nchi, Taifa na Serikali hii ni mali ya JPM kwa sasa, tumuache atusaidie kuiongoza nchi hii.
Tusione huu ukimya wa viongozi wetu wa dini, nao wanajua kuwa hii nchi, Taifa na Serikali hii ni mali ya JPM kwa sasa, tumuache atusaidie kuiongoza nchi hii.
Tusione huu ukimya wa mawazi na wasaidizi wengine, nao wanajua kuwa hii nchi, Taifa na Serikali hii ni mali ya JPM kwa sasa, tumuache atusaidie kuiongoza nchi hii.
Tusione huu ukimya wa wafanyabiasha wakubwa, wa kati na wadogo, nao wanajua kuwa hii nchi, Taifa na Serikali hii ni mali ya JPM kwa sasa, tumuache atusaidie kuiongoza nchi hii.
Tusione huu ukimya wa wamachinga, nao wanajua kuwa hii nchi, Taifa na Serikali hii ni mali ya JPM kwa sasa, tumuache atusaidie kuiongoza nchi hii.
Tusione huu ukimya wa NGOs, CBOs na FBOs nazo zinajua kuwa hii nchi, Taifa na Serikali hii ni mali ya JPM kwa sasa, tumuache atusaidie kuiongoza nchi hii.
Tusione huu ukimya wa Maprofesa, madakitari wa falisafa na wataalam wote, nao wanajua kuwa nchi, Taifa na Serikali hii ni mali ya JPM kwa sasa, tumuache atusaidie kuiongoza nchi hii.
Hizi lawama tunazopeana si sawa kabisa, tunaoneana bure tu!. Tunapaswa kujua kuwa ni matakwa na maelekezo ya JPM ili mambo ya nchi hii na Serikali hii yaende.
Maana utasikia mtu anasema eti Mtendaji wa Kata au Mtendaji wa mtaa au Kijiji amekatalia fomu mgombea, unataka afanyeje zaidi ya kutii matakwa au maelekezo ili nchi iende?.
Utashangaa mtu eti anamlaumu MBUNGE eti ameshindwa kuisimamia na kuishauri Serikali. Wote wanatii matakwa na maelekezo ya JPM ili nchi iende.
Utashangaa mtu eti analaumu mhimili wa mahakama (majaji, mawakili, mahakimu) eti wamekaa kimya!, unataka wafanyeje zaidi ya kutii matakwa na maelekezo ya JPM ili nchi iende.
Kwa ufupi kwa sasa hivi hayupo ambaye anaweza kukaidi kutekeleza matakwa na maelekezo ya JPM yawe mazuri au mabaya kwa maslahi ya nchi yetu na Taifa letu, nasema hayupo, tumuache atusaidie nchi, Taifa na Serikalini yetu iende.
Tuliopo wote kwa sasa ni watiifu, waoga, wenyenjaa, tusiojitambua, n.k, ebu tumuache JPM atusaidie nchi, Taifa na Serikalini yetu iende.
Vinginevyo tuombe Mungu ashushe muujiza ili yatendeke matakwa na maelekezo ya Watanzania kwa nchi, Taifa na Serikali yao ili nchi iende.