Tukubali Liverpool msimu wa 2019/2020 gari limewaka hakuna wakumzuia

Ni furaha sana kuiangalia liver ikicheza, hasa inapokutana na Atletico Madrid.
Ikitoka utamu wa kufanya mapenzi, kinachofata ni utamu wa kuiangalia Liverpool ikicheza.

Toka dunia imeumbwa, kwenye ligi 5 kubwa duniani, Liverpool ni timu pekee iliyoweza kukusanya points nyingi sana ndani ya michezo 21 ya mwanzo.

Na kadri tutakavyokuwa tunashinda mechi zinazofata ndivyo tutazidi kuweka record ambayo haitakaa ivunjwe mpaka kizazi hiki kipotee.

Nachoweza kuwashauri watu, ni kuiangalia hii Liverpool ikiweka history. Tusije kukosa cha kusimulia wajukuu zetu, maana watakuwa wanaona kwenye mitandao hivyo watataka kupata experience kwa sisi tukioona live.

View attachment 1321428
 
Back
Top Bottom