Tuko tayari kupoteza jimbo kuliko kuendelea na mafisadi-nnape nauyee

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Mmh jamani kama si hizi kazi wengine ndio tunasoma magazeti mida hii naona kijana nnape
anazidi kuwaka na ari yake naamini mwisho atarudi chadema..kijana nimempenda alipowambia waandiishi aturudi nyuma
tuko radhi kupoteza jimbo lakini atuitaji kukaa na watu wachafu hata biblia inasema jicho moja likikupeleka motoni
ufanyaje so kwa hili naawambia kama si kuwa na tofauti na baadhi ya watu majibu yangetoka leo hii lakini wameombwa
mpaka septrmber...ila si mbali tuvumiliane tu kwa hili..kuna uchafu mwingi tu tukishamaliza wale mapapa tunanzaa
na pelege/kambare na uhakika wale wote waliowekwa na hao mapapa awatabaki tunaitaji chama bora na sio bora chama
duh nilikuwa wapi sikusoma toka asbh
kijana kama uko makini mungu akusaidie usiwe kama chris mtikila

another paradox, the heading unmatchs its content

Hana jipya huyo mtoto. Kwanza yeye mwenyewe ni gamba lililooza kabisa kuliko Makamba Sr. Ninachoendelea kuamini ni kwamba Mungu ameamua ccm ife na amemtuma Israel mtoa roho (nape) aifanye hiyo kazi baada ya mtangulizi wake (Makamba) kukamilisha aliyotumwa akisaidiwa na TH!
Naamini kabisa kwamba, ukombozi wa taifa hili utapatikana wakati ccm ikiwa chini ya uongozi huu!

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom