Tuko tayari kunufaika katika mafuta na gesi?

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
gas.jpg

Wapo watu wanaoamini kwamba, kupatikana kwa gesi nchini kutamaliza shida zote za wananchi, kwamba kila mmoja atapata maisha bora na ndiyo maana hata wananchi wa Mtwara walijiona kwamba wamekwishajikwamua na umaskini kwa vile gesi inachimbwa mkoani kwao.

Soma zaidi=> Tuko tayari kunufaika katika mafuta na gesi? | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom