Nawaza tu, computer za ofisi zote nchi nzima tunatumia computer operating system za wamerekani.. smart phone zote hivyo hivyo.
Yaani sisi hata tooth pick hatuwezi tengeneza.
Tukiwauzi wanatumaliza dakika tu. Wanazima dream liner zinakuwa makopo... wanazima windows zao na Mac.
Wanazima gps.
Nawaza tu ofisini tutakavyorudi zama za manual files.. typist sijui nini...
Dawa tu tunategemea kwao..
Hata hizo coca na pepsi na formula zao ..
Hawa jamaa hawakuja africa kumkoloni mtu zama za ukoloni... ila wanatukoloni wafrica kwa akili tu.
Hizo havard , yale na stanford zao zimewasaidia kweli...sio sisi udsm imetuletea wapuuuzi kibao..
Zama hizi unamsomesha mtu degree ya sanaa na unampa mkopo na huku uwezi kumwajiri.. na hawezi isaidia nchi chochote. Serikali ifute sanaa na masomo ya kipuuzi toka msingi... tusome science tu nchi nzima wanafunzi wote . Kisha mbele mbele tugawanyike fani muhimu tu zinazosaidia nchi kwenye hali tete kama hizi za vikwazo
Nawaza tu professa wa jalalani atavyotoa macho atakapoona computer yake haiwaki ghafla asome emails.
Sent using Jamii Forums mobile app