Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Tunawasoma watu maarufu waliopingana na uonevu wa wakoloni wakatuletea ukumbozi. Waliofanya hayo walianza kwenye sanduku la kura 1958 na 1961 wakaingia ikulu na mzungu akafungasha virago.
Toka 1961 Hadi leo kwanini tunawakumbuka na kuwashukuru? Ni kwa sababu watu waliamua kutotawaliwa, kuminywa haki zao na mateso mbalimbali
Leo 2020 tunapaswa kuandika historia tuwaachie watoto wetu historia, tufanye maamuzi ya kuifuta ccm tuanze upya maisha yetu.
Uchaguzi Ni fursa ya ajira kwa wasio na ajira, Ni fursa ya biashara na fursa yakutengeneza watu wapya tunaoweza kuwasimamia. Leo chama Tawala hakifanyi kampeni kwa juhudi na ratiba ya tume kwa sababu hawaoni umuhimu wetu.
Kama hawaoni umuhimu wetu sisi tunawaonaje wa muhimu kwetu? Wapo waliofadhili kampeni 2015 wapo segerea bila kesi kusikilizwa, wapo watumishi wa Umma walikua ccm kindakindaki wapo benchi na pressure juu. Tunapaswa kuchagua utawala wa sheria.
Tuamue bila kujali chama tujali Uhuru wetu wakujitawala.