TUKIWAKABIDHI NCHI HAWA WATAIWEZA KWELI?

sipii

Member
Apr 26, 2017
53
161
Wapo viongozi wanaoonekana ndio machachari mfano G.Lema ,na pind tkiwapa nchi ndio wanatarajiwa kushika nafasi za juu ikiwemo uwaziri nk,wanaonyesha kulialia na kushauri nchi kuomba msaada kwenye mambo nyeti na ambayo yapo ndani ya uwezo wa nchi au vyombo vyake,siku wakipewa nchi hawa ,nchi wataipeleka vile wanavyotuahidi wakiwa kwenye majukwaa?
 
Embu tulieni bana..MO kaishapatikana basi....
Wanaomba msaada sababu matukio ya msingi yanayotokea hayapatiwi majibu....walipotea wote serikali haijasema chochote...hivi mnafikiri familia zao na ndugu zao wamo kwenye hali gani....
Huyo Lissu mwenyewe alipigwa risasi za kutosha tu...lkn mpaka leo hakuna majibu...
KUNA MAMBO MAWAILI
1.Wameshindwa kuchunguza
2.Hawana interest
3.Au kuhusika....
Na ndo maana watu wanatoa proposal

Au wewe mwenzetu tupe mfano ya tukio hasa haya ya kutekwa ambapo watu wamepelekwa mahakamani??
 
Wapo viongozi wanaoonekana ndio machachari mfano G.Lema ,na pind tkiwapa nchi ndio wanatarajiwa kushika nafasi za juu ikiwemo uwaziri nk,wanaonyesha kulialia na kushauri nchi kuomba msaada kwenye mambo nyeti na ambayo yapo ndani ya uwezo wa nchi au vyombo vyake,siku wakipewa nchi hawa ,nchi wataipeleka vile wanavyotuahidi wakiwa kwenye majukwaa?
Kwani sasa hivi tupoje na wao kwa nini washindwe?
 
Mkuu Umefikiria Mbali. Hawa Wapinzani Hawa Wakijapewa Nchi Inaweza Iwashinde Kwa Kweli
 
Hakika kwenye maeneo mengi yenye mkusanyiko wa watu wwkitaka kuchagua kiongozi Mara nying hua wanachukulia uzito haiba yake, busara mfano pind kukiwa na changamoto yeye huwa anakuwa na ushauri gani kweny harakati za kutatua changamoto za eneo husika,sasa kaka MTU atakua anafit. Maeneo yote ni rahis tu kuchaguliwa,ila kama atakua was makelele mengi yasio na point ni vigumu kupewa uongozi,sa tukija kwenye uhalisia wa Tanzania yetu hii,ingependeza sana kama viongoz wa upinzani wangeonyesha haiba ya ukiongozi kiuongozi ,kiuwaziri uwaziri,katibu mkuu waanze kuwaonjesha wananchi ladha na mfumo wa uongozi wao japo kwa hisia tu,,watu kwa lazima tungewapigia kura, ila kwa stail ya upinzani huu uliopo tz,tuwe na subira kwa kweli
 
Kwani mliowakabidhi wameiweza?
Wapo viongozi wanaoonekana ndio machachari mfano G.Lema ,na pind tkiwapa nchi ndio wanatarajiwa kushika nafasi za juu ikiwemo uwaziri nk,wanaonyesha kulialia na kushauri nchi kuomba msaada kwenye mambo nyeti na ambayo yapo ndani ya uwezo wa nchi au vyombo vyake,siku wakipewa nchi hawa ,nchi wataipeleka vile wanavyotuahidi wakiwa kwenye majukwaa?
 
Wanaposhauri nchi kuomba msaada nje sio kwamba vyombo vya ndani havina uwezo, ni kwamba wanadhani vyombo vya ndani vinaweza kutumika na wanasiasa ndivyo sivyo hivyo kukwamisha uchunguzi. Refer mkuu wa mkoa fulani akiwa anasherehekea na polisi mara baada ya chama fulani kushinda uchaguzi wa marudio.

Wapo viongozi wanaoonekana ndio machachari mfano G.Lema ,na pind tkiwapa nchi ndio wanatarajiwa kushika nafasi za juu ikiwemo uwaziri nk,wanaonyesha kulialia na kushauri nchi kuomba msaada kwenye mambo nyeti na ambayo yapo ndani ya uwezo wa nchi au vyombo vyake,siku wakipewa nchi hawa ,nchi wataipeleka vile wanavyotuahidi wakiwa kwenye majukwaa?
 
Kwa hiyo unahalalisha uporaji wenu wa ushindi wa wananchi, uvccm uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana
 
Wapo viongozi wanaoonekana ndio machachari mfano G.Lema ,na pind tkiwapa nchi ndio wanatarajiwa kushika nafasi za juu ikiwemo uwaziri nk,wanaonyesha kulialia na kushauri nchi kuomba msaada kwenye mambo nyeti na ambayo yapo ndani ya uwezo wa nchi au vyombo vyake,siku wakipewa nchi hawa ,nchi wataipeleka vile wanavyotuahidi wakiwa kwenye majukwaa?
ni kweli kabisa Chadema wakipewa nchi watafail kwenye kutengeneza sinema za kizamani kama hizi za Siro.
 
Wapo viongozi wanaoonekana ndio machachari mfano G.Lema ,na pind tkiwapa nchi ndio wanatarajiwa kushika nafasi za juu ikiwemo uwaziri nk,wanaonyesha kulialia na kushauri nchi kuomba msaada kwenye mambo nyeti na ambayo yapo ndani ya uwezo wa nchi au vyombo vyake,siku wakipewa nchi hawa ,nchi wataipeleka vile wanavyotuahidi wakiwa kwenye majukwaa?
Ila inaonekana una roho mbaya balaa
Mbaya mno.
7000 inakutoa ufahamu hapo wala simlaumu shetani wa watu.
 
Back
Top Bottom