Tukiwa tunasema kuwa msipende sana Kumpa Ratiba nyingi na Mfululizo kwani mnamchosha hamtuelewi...haya sasa!

Status
Not open for further replies.

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,862
Acheni Kudharau Maoni yetu hapa Jamvini tukiwa tunawashaurini. Nilishawahi Kuandika hapa hapa kuwa hizi Ratiba nyingi na za Mfululizo Kwake si nzuri Kiafya na kama ikiwezekana basi zingine wawe wanapewa Wawili Wakuu wanaomfuata lakini nakumbuka nilipokea Majibu ya Dhihaka hapa, Matusi na hadi Kuambiwa Mimi ni nani wa Kuwashauri.

Kuna wengine mnaweza mkatudharau au mkawadharau lakini kumbe Mwenyezi Mungu huwa kuna Shani ( Tunu ) fulani hivi ya Kipekee anakuwa amewapa na mpaka mnaona wengine wanajipa Majina ya Ndege Tai hapa Jamvini basi itoshe tu kujua kuwa huwa wana Maono makali na ya mbali hasa kiasi kwamba wakiwa wanatoa Mawazo yao au Ushauri wao au Mitazamo yao jitahidini muwe mnaizingatia.

Hakuna Mtu anayefanya Ziara Siku 9 hadi 11 tena za mfululizo huku akianzia Asubuhi, Mchana, Jioni na hata Usiku halafu hapo hapo muda wake nao wa Kupumzika unakuwa ni mdogo na hata akipumzika huo Usiku bado tena ama anaomba Mafaili au mnamtupia Mafaili ili ayapitie kisha mtegemee atakuwa vyema Kiafya.

Namalizia kwa Kusisitiza tena kuwa acheni Kudharau na Kupuuza Maoni ya wana JamiiForums. Ewe Bwana Mwenyezi Mungu namuweka mikononi mwako Mtumishi wako Yohana mwana wa Maabara ya Kikemikali, muwekee Mikono yako ya Baraka, apate nafuu na Damu ya Mwanao Yesu Kristo ikapate Kutenda Juu yake, Umuondolee Roho ya Umauti, Umjaze Pumzi ya Kudumu Maishani na tuepushe wana wako wa Tanzania na Breaking News yoyote iliyo ya Masikitiko Kwetu Amen.

Wale mliokuwa mkinidhihaki mwanzo nilipotoa ANGALIZO langu kwa nia Njema tu ( hasa baada ya Kuiona Kimaono HATARI fulani ya Kiafya kutokana na Uwingi wa Ratiba zake ) na leo mnaweza mkanidhaki tena mkipenda. Nilisikitika na huwa nasikitika sana tu pale nikiona Binadamu Mmoja tena mwenye Umuhimu ndani ya Taifa lake anapangiwa Ratiba utadhani yuko katika Mafunzo ya Kijeshi wakati kumbe hizo Ratiba zinamuathiri Kiafya na matokeo yake sasa ndiyo haya ya kuwaweka Watu Roho juu juu badala ya Kutuacha tushangilie Matokeo ya Timu yetu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars kwa Kufuzu Michuano ya CHAN mwaka 2020 ( Mwakani ) huko nchini Cameroon.
 
Wale mliokuwa mkinidhihaki mwanzo nilipotoa ANGALIZO langu kwa nia Njema tu ( hasa baada ya Kuiona Kimaono na leo mnaweza mkanidhaki tena mkipenda.

umeandika takataka ili ujifanye kwenda sambamba na kile alichoandika kigogo kule twitter.

halafu si ni wewe kwa kutumia ile ID yako nyingine ulijafanya kuandika kuhusu kutoweka kwa kigogo?.

jamaa karudi upya na ubora wake wa kutuhabarisha yaliyo ya ndani zaidi upo juu kileleni. aibu yako.
 
Magufuli ni workaholic, kufanya kazi ndio starehe yake
na ratiba zake hapangiwi na mtu, unadhani yule ni mtu wa kupangiwa ratiba tena hadi zimchoshe?

Ningeshangaa kama Uzi wangu huu usingevamiwa na kukurupukiwa na ' Wapumbavu ' ama Wachache au hata Wengi pia.
 
Kapatwa na nn. Hap naona unajisifia tu ramli zako ulizopiga as if wote walizisoma na wrote wanajua kilichotokea.

Hivi kusema kuwa nilishawahi kuja na Uzi wa kutoa ANGALIZO hapa juu ya Ratiba ngumu na za Mfululizo ni Kujisifia? An Eagle nimeandika ' Threads ' nyingi tu hapa JamiiForums je, ulichukua muda wako na Kuitafuta hii ambayo naizungumzia hapa? Halafu sijaona haja ya Wewe kuja na Mihasira yako kama vile una Nyege za Mbwa wa Police pale Kurasini, kwani hata nilipoanzisha huu Uzi hakuna mahala popote pale nimekulazimisha uje uufungue bali umeufungua kwa Kuwashwawashwa Kwako tu.
 
Utateseka mno na Mimi Ndugu na kadri unavyozidi Kuhangaika nami ndiyo unazidi tu Kunifanya niwe ' BRAINIAC ' hivi huku Wewe ukiendelea tu kubaki kuwa ' STUPID ' hivyo. Na nafurahi pia kuona na kujua ya kwamba popote ambapo nipo na nachangia hapa Jamvini nawe upo ili kuhakikisha Mumeo Mimi nipo salama. Hongera Mke wangu kwa Kuweza kuyatimiza Majukumu yako ya Ndoa vyema na Mimi Mumeo An Eagle nakuhakikishia mbele ya ' Members ' hapa kuwa kamwe sitokuja Kukuacha au hata Kukupa Talaka. Upendo wako Kwangu kama Mumeo hauna Kifani na namshukuru Mungu kwa kunizawadia Mke mzuri na mwenye Kuwashwawashwa kama Wewe.
umeandika takataka ili ujifanye kwenda sambamba na kile alichoandika kigogo kule twitter.

halafu si ni wewe kwa kutumia ile ID yako nyingine ulijafanya kuandika kuhusu kutoweka kwa kigogo?.

jamaa karudi upya na ubora wake wa kutuhabarisha yaliyo ya ndani zaidi upo juu kileleni. aibu yako.
 
Hashauriki yeye kuachia wakuu wa mikoa na mawaziri wazindue miradi anaona kama hatosifiwa yeye bora aende kuzindua kila kitu kikubwa hata kidogo.
Nililisema mapema tu na hapa hapa JamiiForums kama ANGALIZO, ila nikaonekana kama vile nilikuwa sijui nilichokuwa nakishauri. Na sasa ndiyo hayo Ndugu!
 
Acheni Kudharau Maoni yetu hapa Jamvini tukiwa tunawashaurini. Nilishawahi Kuandika hapa hapa kuwa hizi Ratiba nyingi na za Mfululizo Kwake si nzuri Kiafya na kama ikiwezekana basi zingine wawe wanapewa Wawili Wakuu wanaomfuata lakini nakumbuka nilipokea Majibu ya Dhihaka hapa, Matusi na hadi Kuambiwa Mimi ni nani wa Kuwashauri.

Kuna wengine mnaweza mkatudharau au mkawadharau lakini kumbe Mwenyezi Mungu huwa kuna Shani ( Tunu ) fulani hivi ya Kipekee anakuwa amewapa na mpaka mnaona wengine wanajipa Majina ya Ndege Tai hapa Jamvini basi itoshe tu kujua kuwa huwa wana Maono makali na ya mbali hasa kiasi kwamba wakiwa wanatoa Mawazo yao au Ushauri wao au Mitazamo yao jitahidini muwe mnaizingatia.

Hakuna Mtu anayefanya Ziara Siku 9 hadi 11 tena za mfululizo huku akianzia Asubuhi, Mchana, Jioni na hata Usiku halafu hapo hapo muda wake nao wa Kupumzika unakuwa ni mdogo na hata akipumzika huo Usiku bado tena ama anaomba Mafaili au mnamtupia Mafaili ili ayapitie kisha mtegemee atakuwa vyema Kiafya.

Namalizia kwa Kusisitiza tena kuwa acheni Kudharau na Kupuuza Maoni ya wana JamiiForums. Ewe Bwana Mwenyezi Mungu namuweka mikononi mwako Mtumishi wako Yohana mwana wa Maabara ya Kikemikali, muwekee Mikono yako ya Baraka, apate nafuu na Damu ya Mwanao Yesu Kristo ikapate Kutenda Juu yake, Umuondolee Roho ya Umauti, Umjaze Pumzi ya Kudumu Maishani na tuepushe wana wako wa Tanzania na Breaking News yoyote iliyo ya Masikitiko Kwetu Amen.

Wale mliokuwa mkinidhihaki mwanzo nilipotoa ANGALIZO langu kwa nia Njema tu ( hasa baada ya Kuiona Kimaono HATARI fulani ya Kiafya kutokana na Uwingi wa Ratiba zake ) na leo mnaweza mkanidhaki tena mkipenda. Nilisikitika na huwa nasikitika sana tu pale nikiona Binadamu Mmoja tena mwenye Umuhimu ndani ya Taifa lake anapangiwa Ratiba utadhani yuko katika Mafunzo ya Kijeshi wakati kumbe hizo Ratiba zinamuathiri Kiafya na matokeo yake sasa ndiyo haya ya kuwaweka Watu Roho juu juu badala ya Kutuacha tushangilie Matokeo ya Timu yetu ya Mpira wa Miguu ya Taifa Stars kwa Kufuzu Michuano ya CHAN mwaka 2020 ( Mwakani ) huko nchini Cameroon.
Wanampangia wakati anataka kila kitu afanye yeye nchi nzima.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom