utakuwa kjna wa lumumba. nadhani unatamani kusingekuwa na katiba. ila ungekuwa unajua umuhimu wa bunge usingeongea ivoKwenye katiba mpya bunge lifutwe. Kama sheria zote tumeshatunga, wabunge wana kazi gani zaidi ya kuvuana balagashia? Kazi za wabunge zilizobaki zifanywe na wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
Shuleni tulifundishwa kuna mihimili mitatu Serikali, Mahakama na Bunge. Kwa jicho la mbali naona kama kuna Serikali, Serikali na Serikali
Shule tulifundishwa pia kuthibitisha jambo tunaloongea kwa kutoa uthibitisho usiokuwa na mashaka kisheria nk Hebu weka uthibitisho ambao hata ukiburuzwa mahakamani waweza utumia kushinda kesi.