Tukiuza Boeing 787-8 tunaweza kununua Ventilator 9,245. Ila kwa sasa tumenunua moja tu toka mlipuko wa corona utokee

Mkuu michango si iligonga kwenye B inaweza tumika hio kununua hizo mashine na tukatoa nadini kidogo store ili kupambana na hili tatizo
Note
Kwa data za umi tatizo ni dogo sana ILA kwa data za huku mitandaoni tatizo ni kubwa sana hapa uamuzi ni wetu tutumie data za mitandao ili kuongeza tahadhari au za umi tuongeze mzaha
Mungu ni mwema tauni ilipita hata hili litapita pia
 
Mashine ya kusaidia mgonjwa kupumua (Ventilator) ni TZS 56M

Boeing 787-8 Dreamliner bei yake $224.6M sawa na (TZS 517,731,127,992/-)

Hivyo katika TZS 517.7bn tunaweza kupata VENTILATORS zaidi ya 9,245

FAHAMU:serikali yako imenunua ventilator MOJA TU kupeleka hospitali ya AMANA Martin M. M on Twitter
Hizi ni akili za mbege, nani atanunua hiyo ndege kipindi hiki?!!!
 
Mashine ya kusaidia mgonjwa kupumua (Ventilator) ni TZS 56M

Boeing 787-8 Dreamliner bei yake $224.6M sawa na (TZS 517,731,127,992/-)

Hivyo katika TZS 517.7bn tunaweza kupata VENTILATORS zaidi ya 9,245

FAHAMU:serikali yako imenunua ventilator MOJA TU kupeleka hospitali ya AMANA Martin M. M on Twitter

Nimecheka sana..kwamba imenunua moja????🤣🤣🤣! Sukuma oyeee
 
Ndio watu wajue sasa, ukiugua na uka-develop zile complications za kushindwa kupumua hapo Amana ndio safari. Inauma sana, lakini ventilator moja watamuunganisha nani wamwache nani.
Hii taarifa ni ya kweli, waziri mwenyewe kasema.
 
Mashine ya kusaidia mgonjwa kupumua (Ventilator) ni TZS 56M

Boeing 787-8 Dreamliner bei yake $224.6M sawa na (TZS 517,731,127,992/-)

Hivyo katika TZS 517.7bn tunaweza kupata VENTILATORS zaidi ya 9,245

FAHAMU:serikali yako imenunua ventilator MOJA TU kupeleka hospitali ya AMANA Martin M. M on Twitter
Kwa vile hiyo boeng ni asset tuiache itazalisha baadae.

Tuchukue makusanyo yote ya TRA ya mwenzi Machi na April, jumlisha na michango ya billion kadhaa zilizochangwa kwa Waziri Mkuu, jumlisha na mahela tuliyonayo hazina! Hizo zooote Milioni 56 zimo nyingi sana kutupitia ventilator za kutosha bila kuuza asset.

Swali linabaki, je, Raia ni bora kuliko hizo hela? Ujue hapa duniani Kuna watu wanathamini vitu kuliko uhai wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom