Tukiuiga utaratibu wa ada za samunge kumbe inawezekana !

McEM

Member
May 7, 2011
64
3
Kuna mikoa barabara,zahanati na mashule hazifai. Kwa nini hawaigi mfano huu wa m/arusha na ikiwa vyanzo vya mapato vipo.
 
(Kuna mikoa barabara,zahanati na mashule hazifai. Kwa nini hawaigi mfano huu wa m/arusha na ikiwa vyanzo vya mapato vipo.)

Sijakuelewa!, Una maanisha nini?!
 
Hata manispa za mikoa mingine nazo zinaweza kukusanya ushuru kama m/arusha na kukarabati miundo mbinu katika maeneo yao.
 
Hatujui huko samunge wanafanya nini na mkoa huo wa arusha umefanyanini ili na wengine waige . toa taarifa sahihi
 
Back
Top Bottom