Tukitumia kondom tutanasa

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Nina kidemu changu cha uswahilini.
Jana kikaja gheto baada ya kuwa kinanikwepa kwa muda mrefu.
Baada ya stori za hapa na pale tukajikuta tu hatuna nguo,
nikavuta droo na kutoa pakiti ya kondom
Binti kuona hivyo tu akahamaki, tukitumia kondom tutanasa nina tego nimewekewa na bwana wangu wa sumbawanga.
Kilicho fuata usitake kujua.
Je ingekutokea wewe ungefanyeje?
 
Ningefurahi kwa kua nimejua jambo ambalo sikua nalijua, then ningeachana nae.
 
Asante kwa kutuhabarisha ya kuwa ulikula mbichi bila ya maganda
 
Nina kidemu changu cha uswahilini.
Jana kikaja gheto baada ya kuwa kinanikwepa kwa muda mrefu.
Baada ya stori za hapa na pale tukajikuta tu hatuna nguo,
nikavuta droo na kutoa pakiti ya kondom
Binti kuona hivyo tu akahamaki, tukitumia kondom tutanasa nina tego nimewekewa na bwana wangu wa sumbawanga.
Kilicho fuata usitake kujua.
Je ingekutokea wewe ungefanyeje?

Mhhhhhh!
 
Unachomeka DOLE gumba kwanza kutest kama kuna ulimbo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom