Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
Nina kidemu changu cha uswahilini.
Jana kikaja gheto baada ya kuwa kinanikwepa kwa muda mrefu.
Baada ya stori za hapa na pale tukajikuta tu hatuna nguo,
nikavuta droo na kutoa pakiti ya kondom
Binti kuona hivyo tu akahamaki, tukitumia kondom tutanasa nina tego nimewekewa na bwana wangu wa sumbawanga.
Kilicho fuata usitake kujua.
Je ingekutokea wewe ungefanyeje?