SUPER PREDATOR
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 2,093
- 725
Kama kweli watanzania wenzangu tunataka hela yetu iheshimiwe na kupanda thamani basi tuache kuiita hela ya madafu, najua kuna watu wanapenda kutumia jina hilo lakini nafikiri huwa wanatumia jina hilo kwa mzaha ndiyo maana huwa wanacheka na kutabasamu.
Angalia wenzetu wanavyoheshimu na kuithamini pesa yao, yaani utadhani ni euro au dola ya marekani, tena kama huna hela yao una dola au euro unaweza kukosa Huduma mpaka ukabadili benki, huu ni ushauri kwetu sote.