Tuwe na idadi kubwa ya watu wenye akili za kimabadiliko
Nakubaliana na wazo lako,tutawezaje kuwa-eliminate?Hapa hili suala ni zito sana,
Kwanza unaposema kuikomboa nchi, wenye akili timamu kama mimi tunaweza kukuelewa vizuri tu nini unachomaanisha,
But wale wengine kama kina Ff, Ms, Rejao, Ritz etc kwao kuikomboa nchi ni kuleta umwagaji damu, wanasahau kua .......haipatikani bali kwa ncha ya upanga.
So kwakua umeulia tufanyaje, wazo langu tuanze kuwa-eliminate kwanza hao kwenye jamii ili tukianza ukombozi rasmi kusiweko mamluki!!
na mimi nashauri vita! Basi tena ikiwezekana iwe ya kudumu.
Nakubaliana na wazo lako,tutawezaje kuwa-eliminate?