Tukitaka kuikomboa nchi yetu tufanye nini?

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Tufunge MMU.Ili watu wasipeleke stresi zao huko na,kuzipeleka sehemu zitakazo kujenga TAIFA.
Michango inayotolewa MMU ni kura tosho kupata serikali yenye malengo na kura zakutosha kutoa magamba.
Kazi kwenu piga kura kupata haki yako.
 
Kila mtu abadilishe namna yake ya kutazama mali ya uma, na tupiganishe ufisadi. alafu tuwe na unoko fulani katika mambo yanayo husu taifa na tuwaombe watu maelezo (accoutability).
 
Hapa hili suala ni zito sana,
Kwanza unaposema kuikomboa nchi, wenye akili timamu kama mimi tunaweza kukuelewa vizuri tu nini unachomaanisha,
But wale wengine kama kina Ff, Ms, Rejao, Ritz etc kwao kuikomboa nchi ni kuleta umwagaji damu, wanasahau kua .......haipatikani bali kwa ncha ya upanga.
So kwakua umeulia tufanyaje, wazo langu tuanze kuwa-eliminate kwanza hao kwenye jamii ili tukianza ukombozi rasmi kusiweko mamluki!!
 
Nakubaliana na wazo lako,tutawezaje kuwa-eliminate?
 
Nakubaliana na wazo lako,tutawezaje kuwa-eliminate?

Kwa kutumia wataalamu wa IT tunaweza kuwa-identify their true identity.
Then from there tukishawajua niachieni mimi kazi
 
Back
Top Bottom