Tukitafakari, hivi ccm wanataka "Free Market, Upinzani wa Nguvu, Freedom na Maendeleo Tanzania"? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukitafakari, hivi ccm wanataka "Free Market, Upinzani wa Nguvu, Freedom na Maendeleo Tanzania"?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Mar 14, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Siku hizi nikifuatilia habari na propagandas za ccm sioni kama ccm wanania nzuri na Tanzania. Kila leo wanarusha maneno ya kuchochea na kulaumu Chadema, wakati wao wapo serikali kwa miaka hamsini sasa. Kinachomshinda Kikwete kuleta policies za kujenga nchi nini? Uchumi wa Tanzania wazi unaonekana upande wa free market, lakini hakuna hata vigezo vinavyoonyesha wanafuata hii njia. Mfano mdogo ni transparency katika sehemu nyingi za serikali. Kitu gani kinawafanya ccm wafiche mapato halali ya serikali? Information za matumizi ya serikali? Why Tanzanians don't have right to know and to contribute to build their own policies?Lengo kubwa la ccm linaonekana kufanya wananchi wawe uninformed na kuwa raisi kuwatawala.

  Tukifuatialia ushindi mkubwa wa Chadema Tanzania ni courageous kuona jinsi gani wananchi wanakipokea chama hiki cha upinzani. Kufanikiwa kwa Chadema ni kutokana na kuharibika kwa ccm. Chadema mpaka leo hii wanafanikiwa kwa kuonyesha better solutions kuikomboa Tanzania kutoka kwa watu wachache na kushirikisha wananchi wote kujenga Taifa. Chadema kwa sasa ni true alternative na wana-represent true solution from ccm colonialism. Kinachowafanya ccm kuhaha na kutapatapa ni nini? ccm you have failed and you need to let someone else lead the country, acheni kuwatisha wananchi kwa uongo.

  Tukiangalia jambo la freedom na maendeleo ya nchi, tunajipongeza kwani freedom yetu tunaichukuwa sisi wananchi kwa nguvu zetu. Tumekuwa tunaona jinsi gani ccm inajaribu kuzuia maandamano na upingaji wa ccm Tanzania na kupanga uchafuaji wa amani. Kinachoeleweka mpaka sasa ni njama za ccm kutaka kuwazuia wanachi sasa kama walivyo waburuza babu na bibi yangu hata kuogopa kupigania haki zao. Hivi vyote havijafanikiwa mpaka sasa. CCM ni chama gani duniani hakina diversity of opinions inside au hata ku-allow alternative inside?

  Taifa kama hili la Tanzania lazima lipitie hali ya mapambano kama haya ili tupate maisha bora. Duniani kote tunaona - Free market, Strong Political Parties na Freedom Ndio Maendeleo ya Nchi Yanazaliwa.​


  The New Path for Africa: Establishing Free-Market Societies: Events: The Independent Institute
  ?Democracy? fails Africa
   
 2. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,674
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  kama unataka free market waambie viongozi wa cdm waache kumwambia rais ashushe bei ya sukari!
   
 3. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyu anayebeza kilio cha kutaka bei ya sukari iteremshwe, kwa hofu ya kupindisha misingi ya soko huria, ni dhahiri haijuhi misingi hiyo; katika soko huria ni lazima huwekwe utaratibu wa kulinda mlaji pale ambapo watu wachache wanahodhi upatikanaji wa bidhaa fulani fulani, kama ilivyo hapa kwetu kwa bidhaa ya sukari. Haina budi ieleweke kwamba hapa nchini makampuni mawili matatu ndiyo yanayozalisha zaidi ya asilimia 80 ya sukari yote inayozalishwa nchini. Katika hali hiyo hakuna ushindani wowote kwenye bidhaa hiyo, bali tu bei inapangwa kwa makubaliano ya kampuni husika. Ni kutokana na sababu hiyo serikali inayo kila sababu kuingilia kati.
   
 4. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 737
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni ngumu sana kuwaelewa hawa jamaa maana hata ile common sense inagoma
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  wewe kweli ni kobe----looooh!
   
Loading...