Tukisubiri ujio wa brazil kwa billion 3;mjazito ajifungua barabarani mwanza hospital

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,134
Wakati watanzania tukiwa na hamu ya kusubiri kuona wana brazil wakija tanzania kucheza na taifa stars...mama mmoja amejifungua njian jana mjini mwanza baada ya kukosa huduma hospital ya karume ...akioongea kwa uchungu waliomwona jana tbc mama huyo anasema alikwenda hospital alipofika manesiwakamwambia anashida gani akasema anasikia uchungu....wakamwambia atuna vifaa vya kukusaidia kujifungua so nenda ilemela,..mama yule akawa anaumia tumbo akawambia aiwezekani sijiwezi..ndiopo wakina mama wawili wakamwambia utafia hapa awa wanataka pesa..huku wagonjwa wakilalama mkuu wao akawambia manesi msaidieni tu jamani...mama moja akachukua jukumu la tax alipofika karibu na hospit akashuka mama yule akaanguka chini wale wamama wakamsitiri gafa toto la kilo 4.2 likiwa na tabasamu na kicheko na nanii yake ikismama kuonyesha nimerudi jamani hata kama mlitaka kuniua sasa kazi kwenu kwa watoto wenu mnaoenda kuwazaa..mtoto ana smile kama miss usa..jamani nyie manesi mbona wauwajo hivyo loh!!!...hizo hospital si mfunge jakaya kama mnafungua hospital wanashindwa kuwasaidia watanznia na mnatoa bilion 3 kuwaleta brasil jamani hii si laana ya sehemu za siri????sijui
 
hata mi jana niliona hilo tukio. bonge la toto mnene na mzuri kweli

hawa manesi washtakiwe
 
We ukuona vizuri alikuwa na nanii imesimama si mchezo ilikuwa na mchanga mchanga alafu si unajua alianguka chini...kunyesha ishara ya kuwalaani wale mannesi lakini kwa serikali yetu utawakuta mpaka afe ama azalie chini mtoto wa waziri mwakyusa ndio wanafukuzwa manesi ama kubadilishwa shame
 
hata mi jana niliona hilo tukio. bonge la toto mnene na mzuri kweli

hawa manesi washtakiwe

MMh mkuu mbona unakimbilia kutoa hukumu!

Mungu Baba tunakushukuru kwa uumbaji na tumeshuhudia tena maajabu yako jana! Uliposimamia uzazi wa yule mama katika mazingira magumu namana ile! Mungu naomba ulifanye tukio hili kama kengele kwa wahusika kuweka vipaumbele katika maswala yanayotugusa sisi kama binadamu kwanza na haya ya ziada yaje baadaye tukiwa na uwezo! Amin
 
Quick win ni kuipa team bilionnaire mabilioni wakati asilimia 90 ya watanzania hawajui leo wakiugua watapata wapi huduma ya afya ikiwemo chakula.Pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
pdidy hii habari ipo wapi niisome vizuri, umenichanganyia mambo cjaielewa japo inaonekana ya kuccmua sana.
 
iko kwenye taarifa ya jana ya habari TBC ni huzuni kubwa ndugu yangu yule mama alintoa machozi zaidi nilipoona lile toto llilivyo na afya jamani manesi hawa makatili sijui tuwaekee pilipili machoni waone vizuri??
 
heee, bora kajifungua salama mackini kuliko kunyanyacka na kukosa mtoto, hao manec jamani kama sio wanawake vile, yaani kama hawajapitia uchungu wa mwana, tanzania inachosha kwa kweli, inachosha sana tu.
 
MMh mkuu mbona unakimbilia kutoa hukumu!

Mungu Baba tunakushukuru kwa uumbaji na tumeshuhudia tena maajabu yako jana! Uliposimamia uzazi wa yule mama katika mazingira magumu namana ile! Mungu naomba ulifanye tukio hili kama kengele kwa wahusika kuweka vipaumbele katika maswala yanayotugusa sisi kama binadamu kwanza na haya ya ziada yaje baadaye tukiwa na uwezo! Amin

Ameen!!
 
Back
Top Bottom