Tukishajua Wanaotumbuliwa Tujuzwe na Hatma yao pia...

barwani

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
238
160
Wakuu habari za wakati huu,..
Miezi michache nyuma raisi alipofanya ziara ya kushtukiza Bank Kuu (B.O.T),raisi alimuamuru gavana kumfuta kazi mtu mmoja ambae si mtumishi
Wadau mwenye kujua kilichoendelea tafadhari....
 
Kiongozi bwarani mbona title yako na contents vinapishana sana? Next time tuliza akili kabla ya Ku post mkuu.
 
Kiongozi bwarani mbona title yako na contents vinapishana sana? Next time tuliza akili kabla ya Ku post mkuu.
Ila natumai shida yangu umeilewa,nataka kujua kama alitumbuliwa au bado anatafuna mshahara wa serikali ya JPM.
 
Ingelikuwa enzi za mkwere jamaa angekua kahamishwa post tu , ila kwa Magufuli uwe na Imani kubwa tu kua hicho kirusi kitakua kimeondolewa tayari.

Anyway, Mimi sijui zaidi juu ya huyu ila tusubiri wenye kujua zaidi waje.
Ila natumai shida yangu umeilewa,nataka kujua kama alitumbuliwa au bado anatafuna mshahara wa serikali ya JPM.
 
Back
Top Bottom