Tukisema watangazaji wa cluods fm waende shule ubaya jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukisema watangazaji wa cluods fm waende shule ubaya jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 3, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,272
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Sunday, May 2, 2010 KAZI IPO JAMANI,TOLD YA ITS A FUNNY SITE !! HAYA SASA TWENEE KAZI ..TELL ME SOME KUHUSU HIZI PHOTO... Wewe si umeona gari imezimika wewe haya sukuma ndio uende shule utakosa lift hapa uchelewe ukachapwe fimbo hahaha!! huyu nae kinyago cha Mpapure anganganiza Mapenzi yasiyo salama kisa sijui ni nini hasa basi bi dada kamwaga mwaaa !! no sex ya hivihivi halafu mnasema usije mjini ...mjini kuna mengi babu kila mtu ana madeni langu kwanini lakutoa roho kwani nilivyokopa ulikuwepo..deni la penzi salama ni hayo tu !! SINGLE LADIES..SOMEWHERE WANNA PUT A RING ON IT YOO ..QUALIFICATIONS NDIO HIZO HAPO WADADA MPO ?? Hii ndio kali kuliko.. Picha zote nimepata kwa Rihamma Prda someone..a model,african Beauty who is a friend at facebook.... she is good will show her pictures kwa next post ..lo !! haya .. nice reading gurlfriends... Posted by Diva at 7:07 PM 0 comments MY DREAM LIFE ..NIKILALA NAOTA MY DREAM LIFE HEBU CHECK DOWN PEOPLE LOL ..XOXO !! Huyu Condoleeza Rice ndio my Dream mama ..hapo ananinyooshea kidole wewe mtoto mshenzy haya umefanya balaa gani tena huko !! ingia ndani nisikuone unatoka kwenda kokote !! My Dream Pop Is Mr Obama..nikiamka tu niko white house hi Dad !! u goin somewhere..dad this and that raha gani hiyo ..lemme keep dreamin .. My Dream son ..Julez !!i luv solange son a lot aisee yuko funny mcheck kwa utube ucheke !!alinyanyuliwa na Rihanna na Jay Z katika Grammys akaambiwa do u have anything to say ??akasema No Thanks !! My Dream Brotha..weezy F Baby !!mothafokaa kila dakika akiongea na baba yangu hapo

  HUYU NI MOJA WA WATANGAZAJI AMBAE UKIACHA SIFA YAKE YA KUACHIKA AMEKUWA AKINGURUMISHIWA RUNGU NA CLOUDS MANAGEMENT MEMBERS BILA HURUMA
  JAMANI SASA MTU KAMA HUYU KUNA HAJA YA KUTOACH A KUMWAMBIA UMUHIMU WA SHULE...EWE BABA EWE MAMA EWE MJOMBA ULIE KARIBU NAO WSAIDIEN WAENDESHULE WAPAE UPEO WA MAISHA KIDOGO
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,272
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,272
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  [​IMG]My Dream Pop Is Mr Obama..nikiamka tu niko white house hi Dad !!
  u goin somewhere..dad this and that raha gani hiyo ..lemme keep dreamin ..
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mi ni kama vile sijaelewa kitu!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,272
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  [​IMG]My Dream Brotha..weezy F Baby !!mothafokaa kila dakika akiongea na baba yangu hapo !!

   
 6. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Amehamishia humu mambo yaliyo katika blogu ya mtu mwingine. Huwa sipendelei huu mtindo wa kuleta news kutoka kwenye blog nyingine kwa lengo la kutaka tuanze kuicomment blog/mmiliki. Badala yake ingekuwa nafuu kuicomment news husika
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  wakwetu mimi hapo nimetoka kapa kabisa sijui anataka kutuadisia nini huyu?
   
 8. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  [​IMG] Daah !! ​
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  vipi?
   
 10. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sasa hapa wengine watasikia, no, I mean watasoma!
   
 11. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #11
  May 3, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kujielezea ni kazi jamani!
   
 12. bht

  bht JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  wewe hujaelewa

  na wewe pia
  na mimi vile vile
  (kwetu kuna nini?)

  @sinkala hebu msaada hapa naona wewe kama una mwanga.....(afu naona avatar ya wa kwetu tena imekuteka.....its just an avatar!!!)
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  umeona eeh...kazi kweli kweli
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  inaelekea baridi ya ule mlima inatupuliza vibaya.......naona sinkala anataka kuja kula ngadu za duluti
   
 15. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,695
  Likes Received: 8,230
  Trophy Points: 280
  Ameanza kwa ku summarise yaliyoandikwa kwenye blog ya huyo dada...
  Then akaweka picha zake..
  afu ndo akauliza, kwa hiyo content, haifai dada huyu akarudi shuleni!??

  Mimi sita comment kwa sababu hiyo redio hata siisikilizagi..
  sasa kama mmeelewa mjibu!
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mmh ule mlima ndo unaongeza oxygen kwa ubongo, sema huyu Capt hajielewi hebu ona na hayo mapicha tena ndo kabisaaaaaaaaa......aaagh wachana nae mi mavtu ya kuumiza kichwa for no benefit sitaki

  Sinkala duluti saa hizi pametanda wingu la ukungu hata wewe hawezi kukuona shauri yake
   
 17. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Unajua Capt ameanza na maelezo yakiwa kama ndo maelezo ya thread. Hayo hata mimi sikuyaelewa, ila baada ya thread aliweka bandiko la pili (alijireply!) ambapo ameweka link inayokupeleka katika blogu ya huyo dada. Huko ndipo nilipozikuta hizo picha picha na kuunganisha dots, lakini kwa ujumla thread haina mshiko.
  Kuhusu duluti, mimi nikija huko wala sitafuata ngadu, ila nimesema hapa watasikia na wasiohusika! We ngoja volcano itulize mzuka!
   
Loading...