Tukisema stendi ya mkoa wa Kagera ni mbaya ni mbaya kweli. Sasa hapa utakanyaga wapi

Sasa jamani wakwe zangu tutawezana kweli? itakuaje sasa jaman. Ndo wazazi wangu mutawashushia hapa jameni? Bora wafikie hotel straight tu

Ila umekereka leo hutaki zile battle zetu
 
Yaan kuhusu chama nadhani bukoba walishachoka.bukoba imengozwa na cuf, CCM na chadema but hakuna aliyeweza kujenga stendi.

Wa sasa kaingia CCM naye yupo kimya hata hasemi kitu chochote cha dharura sijui anaona kawaida
Wabunge hawajengi stendi. Hapa mwajibikaji na anayehusika na kupanga maendeleo. Utatuzi wa hilo tatizo ni mdogo sana na wala hauhitaji fedha nyingi. Inatakiwa ichimbwe mifereji ya kutolea maji halafu imwagwe moramu siyo tope.
 
Back
Top Bottom