Tukiolewa mifumo yetu ya mwili haibadiliki jamani...

nenda naye taratibu mtaelewana tu siyo unakuja kwa lisauti ligumu KAZI YAKO KUOMBA PESA TU UNADHANI NAOKOTA..
"mawambie mama najua unataka hela lakini unakumbuka tulikubaliana tupeleke gar service weekend " unaona maneno laini huku umemchapa kibao cha kalio na kumdanganya yupo sex huoni mtaenda sawa
Mmmh utaambiwa uache kuangalia movie za kifilipino
 
Umenena vema ila kumbuka kwenye eneo la pesa wanawake mna tamaa sana hivi jiulize ulipokuwa kwenu baba wako alikupa chochote unachotaka. Sasa kwa nini unafika kwa mumeo unata kula kuku.samaki nyama akikulisha maharage wiki moja unaanza kulalama ati kila siku maharage. Hasa hasa house wives wakuda kweli ukizubaa anapigwa hata na muuza maziwa au nyanya sokoni. Wanawake hasa mkisha zaa mnazorota sana kunako sita kwa sita has a awe amezaa Kwa operation ukimkunja kidogo kosa visingixio pipa unapewa kwa masharti hata awapo poa kiafya malalamiko kibao Mara kachoka n.k hivyi mnataka waume wenu wakagonge nini sokwe.
 
Lakini hebu kuweni wakweli nyie wanawake hivi kama mwenzio ana mapungufu unaachaje kumwambia? Maajabu zaidi unaenda kunisema kwa jirani tena unayemwambia ni mwanaume mwenzangu!
Hamuoni kama unatengeza mazingira ya jamaa kukutongoza kirahisi ilhali wewe ni mke wa mtu?
kaka wanaume wachache sana wanaosikiliza hisia za wenzi wao , na pale unapojaribu kumueleza wengi ugeuza kibao na kusema unalalamika .. ooh unawaza mambo ya kijinga lakini kasahahu hayo ya kijinga ndiyo yanaleta uhai wa ndoa.. wanaume wabadilike wengi hawawasikilizi wake zao
 
Wakati nakuwa member tu jf nilikuwa naona watu wakiandika Miss chagga! Sasa nimeelewa kumbe ndio nyuzi zake hizi, hapa lazima uwe maarufu hakuna "alternative".
 
Lakini hebu kuweni wakweli nyie wanawake hivi kama mwenzio ana mapungufu unaachaje kumwambia? Maajabu zaidi unaenda kunisema kwa jirani tena unayemwambia ni mwanaume mwenzangu!
Hamuoni kama unatengeza mazingira ya jamaa kukutongoza kirahisi ilhali wewe ni mke wa mtu?
Sio kama hamuambiwi, mnaambiwa sana ila ndo mna ile tabia ya kuignore vitu "Aah na wewe bana unalalamika sana". Sawa nalalamika sana but je hujaona point kwenye kile nachokilalamikia? Mwisho wa siku anaanza kutafuta mtu atayemsikiliza na kumpa tu-attention kidogo (I ain't talking of cheating). Kama hamjui ni kwamba wanawake ni watu ambao hisia zao can be easily interrupted... Acheni kuwachukulia poa wake zenu, hisia zao hazijafa bado
 
Umenena vema ila kumbuka kwenye eneo la pesa wanawake mna tamaa sana hivi jiulize ulipokuwa kwenu baba wako alikupa chochote unachotaka. Sasa kwa nini unafika kwa mumeo unata kula kuku.samaki nyama akikulisha maharage wiki moja unaanza kulalama ati kila siku maharage. Hasa hasa house wives wakuda kweli ukizubaa anapigwa hata na muuza maziwa au nyanya sokoni. Wanawake hasa mkisha zaa mnazorota sana kunako sita kwa sita has a awe amezaa Kwa operation ukimkunja kidogo kosa visingixio pipa unapewa kwa masharti hata awapo poa kiafya malalamiko kibao Mara kachoka n.k hivyi mnataka waume wenu wakagonge nini sokwe.
leo nimewasema wanaume ila pia kuna wanawake wanamatatizo sana na nakubaliana na wewe kabisa
 
Back
Top Bottom