Tukiolewa mifumo yetu ya mwili haibadiliki jamani...

Tatizo wanaume waliowengi akishamuweka ndani mwanamke anapunguza baadhi ya manjonjo, mfano kama kipindi wana "shake well before use" alikuwa anaenda Uvinza, akishamuweka ndani haendi tena! Mahaba yanashuka pasipokuwa na sababu za muhimu. Wanaume badilikeni hata sie tunapenda kupendwa na kupewa "vitamu"
Pesa hutafutwa kwa makeke na nguvu zote lakin nachoshangaa ni kuwa huyo mtafutaji akizipata

Matumizi yako ni more than eough.

Hahahaaa nadhan tumeelewana
 
Tatizo mkishazaa mnahamishia mapenzi kwa watoto. Mke muda mwingi unanuka vijiharufu vya bebishoo na vimikojo vya watoto!!? ukija kugutuka, me anakua tayari ana michepuko kadhaa nje, ndo mnaanza kuhaha huku na kule...
 
Pesa hutafutwa kwa makeke na nguvu zote lakin nachoshangaa ni kuwa huyo mtafutaji akizipata

Matumizi yako ni more than eough.

Hahahaaa nadhan tumeelewana
nenda naye taratibu mtaelewana tu siyo unakuja kwa lisauti ligumu KAZI YAKO KUOMBA PESA TU UNADHANI NAOKOTA..
"mawambie mama najua unataka hela lakini unakumbuka tulikubaliana tupeleke gar service weekend " unaona maneno laini huku umemchapa kibao cha kalio na kumdanganya yupo sex huoni mtaenda sawa
 
Tatizo mkishazaa mnahamishia mapenzi kwa watoto. Mke muda mwingi unanuka vijiharufu vya bebishoo na vimikojo vya watoto!!? ukija kugutuka, me anakua tayari ana michepuko kadhaa nje, ndo mnaanza kuhaha huku na kule...
mkuu unamsaidia pole pole mwambie mama pendeza leo tutoke out ..siku kapendeza mwambie nisindikize atakuwa anabadilika kidogo kidogo labda kama ana asili ya uchafu
 
Back
Top Bottom