Tukio la Uzinduzi wa Bidhaa Mpya za Kampuni ya Apple.

Seawhale

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
1,149
1,150
Hatimaye siku mpya imewadia.

Leo tarehe 14-09-2021, kampuni ya Apple inatarajia kuzindua ama kutambulisha bidhaa mpya sokoni. Bidhaa hizo zinazotegemewa kuzinduliwa ni Apple iPhone 13, Apple watch 7, AirPods 3, iPad mini na bidhaa nyingine.

Pic_1631603559992.jpg


Tukio linategemewa kuanza saa 2 kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
 
Kuna mtu kwa sasa huko kawekwa mbuzi kagoma Next Week apate macho matatu hiyo sijui
 

Wako live sasa hivi kwenye page yao ya Youtube wakionesha uzinduzi huo live
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom