Tukio la kihistoria: Wanasayansi Marekani wafanikiwa kurusha helikopta ndogo kwenye sayari ya MARS

Kuna wajinga wanaoshindia maandazi mawili na chai ya mruzi na visimu vyao vya laki 3 watakuja kusema ni scam ili marekani itawale dunia na kila kitu wanachofanya NASA ni fake na mabeberu hawaaminiki na wala haiwezekani na hakuna mtu aliyewahi kutoka nje ya usawa wa dunia sababu vitabu vya dini ambavyo havijafanya utafiti wowote Ukizingatia vimeandikwa mamia ya miaka iliyopita vimesema umbali wa kutoka duniani mpaka angani ni miaka 500.

Na negative africans watakuja soon.

Cc Jurjani
 
Inaenda ku Crash nahisi hivyo
Wanasema kuwa kufly helcopter mars ni changamoto kutokana na wembamba wa atmoshphere na ndo maana kina rotors nyingi. Pia huwezi kuicontrol in real time kutokana na umbali uliopo commands znachukua dakika si chini ya nane kufika huko hivyo inakuwa ni autopilot
 
Back
Top Bottom