Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,475
Kitabu cha business hicho. Kinaitwa "How To Swim With The Sharks Without Being Eaten Alive" cha Harvey Mackay.Alafu kaka kuna Kitabu kimoja uliwahitupia humu kwenye uzi mmoja hivi..Muandishi wake nakumbuka jina moja tu la Harvey..kinahusu mambo ya Kuinvest tafadhali naomba kama nacho una link namna ya kukipata...
Vitabu vya mshua hivyo nilikuwa naviparamia kabla ya muda nikiwa about 13-14. Lakini kuna masomo fulani nilinifunza hususan kuhusu the American life na business culture ( which is now becoming global) naona mpaka leo masomo yale yamenisaidia sana.
Pamoja na kujenga uelewa wa lugha na maisha ya Marekani.
Jamaa aliandika kwa style accessible sana kiasi kwamba as a13-14 year old nilikielewa kwa kiasi kikubwa sana.
Last edited: