Tukio la Bobi Wine: Tanzania tuko kimya, Kenya kesho wanaandamana

Watanzania especially wasanii, waandishi wa habari, wanaharakati wa haki za binadamu na interested groups, kesho tuungane kwa pamoja na majirani zetu Kenya kwenda kwenye ubalozi wa Uganda ili kushinikiza uongozi wa kidikteta chini ya rais Yoeli Kaguta Museven umuachie msanii wa nyimbo ambaye pia ni mbunge Mh. Robert Kaygulanyi (Bobi Wine) akatibiwe.

Leo kwao kesho kwetu.
==================
A group of Kenyans are planning a march to the Ugandan embassy in Nairobi protesting the detention of Kyadondo East member of Parliament, Robert Kyagulanyi Ssentamu.

The Kenyans led by photojournalist cum activist, Boniface Mwangi say they will march to the Ugandan Embassy in protest on Wednesday, August 22.

Mwangi, while responding to a tweet showing pictures of another protest in Busia Kenya, said he was proud of Kenyans in the west, adding; Thank you for leading on this. Nairobi we are on for #FreeBobiWine on Wednesday, 22nd August. We are marching to the Ugandan Embassy on Riverside drive. The organising team @TeamCourageKE @alaminkimathi@lawsocietykenya will share more details.

It is key to note however, that there was no protest in Busia Kenya, as the pictures shared were picked off an unverified BBC Kenya page which has been set up with Bobi Wine related content.

Meanwhile, the police and military in Kampala were on Monday afternoon involved in running battles with people in the city centre who were protesting against the detention of Kyadondo East Member of Parliament Robert Kaygulanyi also known as Bobi Wine.
Hahaaaaaaaaa....heeeeeeeheeee..hiihiiiiiiio..hohohoooooooo...huhiuhuuuuuuui...mlishundwa kuandamana kwa ndugu yenu Lissu eti Sasa mjipange kwenda ubalozi wa Uganda kwa ajili ya huyo muhuni Wine...hahhaaaaaaaa
 
Ya uganda tuwaachie waganda wenyewe. Sisi tunamatatizo yetu wenyewe na yametushinda mpaka sasa.
 
Watz wakumlaumu sana japo nitafikiriwa vibaya ni Mwl Nyerere,pia watawala wetu wa mwisho wametujengea uoga sana yaan watz ni waoga sijawahi ona duniani ila kuongea tu ni wazr lakini kutekeleza ni shida,CCM nao ndio wanatumia kete hii kutuadhibu na wanalazimisha kizazi na kizazi tuendelee kuwa watu wa uoga,japo Nyerere alifanya haya kutuunganisha na kutupa upole wa kinafiki ila cha ajabu watu na ndugu zake wa Mara ni shupavu kweli,kingine cha kulaumu ni hizi dini za mitume na manabii zimetuletea ugonjwa mkubwa sana na kupndikiza woga kati yetu hasa kwa akina mama,wao ili matatizo yaishe hudanganya watu wasiandamane bali waende ktk makanisa yao wakaombewe na kuchunwa sadaka,hvy utawakuta watz wanadhulumiwa haki zao ila utawasikia heeeeeenh yaaaaan Mungu yupo ipo siku tu,heeeeenh yaan Mungu huyu basi tu ,hhheeeeeeeeeeenh tuheshimu kila mamlaka ilyowekwa na Mungu hvy tusiandamane wala kufanya fujo tumuachie Mungu tu,tena nahc kati ya vitu ambavyo maCCM yataanzisha kwa wingi ili yazidi kukiua kizazi chetu ni vyama vay siasa na madhehebu,Tuna kazi kubwa sana TZ
Mkuu uko sahihi sana.
 
Hahaaaaaaaaa....heeeeeeeheeee..hiihiiiiiiio..hohohoooooooo...huhiuhuuuuuuui...mlishundwa kuandamana kwa ndugu yenu Lissu eti Sasa mjipange kwenda ubalozi wa Uganda kwa ajili ya huyo muhuni Wine...hahhaaaaaaaa
Nimesema na interested groups if you're not interested the best way is to shut up.
 
Sugu alikwenda jela kwa maagizo ya jiwe hakuna hata ndege aliyefungua mdomo wake zaidi tuu ya viongozi. Leo hii huko Ug mtadhubutu kufanya hivyo maana hata haya yetu yanatisha ziadi ya kwao... Wapi Ezron,Wapi Ben saa8 hivi leo ndio tuanze kuingilia huo mpk.
Zaidi ya kwao? Una kichaa ww na hujui siasa ya Ug na yanayoendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watz wakumlaumu sana japo nitafikiriwa vibaya ni Mwl Nyerere,pia watawala wetu wa mwisho wametujengea uoga sana yaan watz ni waoga sijawahi ona duniani ila kuongea tu ni wazr lakini kutekeleza ni shida,CCM nao ndio wanatumia kete hii kutuadhibu na wanalazimisha kizazi na kizazi tuendelee kuwa watu wa uoga,japo Nyerere alifanya haya kutuunganisha na kutupa upole wa kinafiki ila cha ajabu watu na ndugu zake wa Mara ni shupavu kweli,kingine cha kulaumu ni hizi dini za mitume na manabii zimetuletea ugonjwa mkubwa sana na kupndikiza woga kati yetu hasa kwa akina mama,wao ili matatizo yaishe hudanganya watu wasiandamane bali waende ktk makanisa yao wakaombewe na kuchunwa sadaka,hvy utawakuta watz wanadhulumiwa haki zao ila utawasikia heeeeeenh yaaaaan Mungu yupo ipo siku tu,heeeeenh yaan Mungu huyu basi tu ,hhheeeeeeeeeeenh tuheshimu kila mamlaka ilyowekwa na Mungu hvy tusiandamane wala kufanya fujo tumuachie Mungu tu,tena nahc kati ya vitu ambavyo maCCM yataanzisha kwa wingi ili yazidi kukiua kizazi chetu ni vyama vay siasa na madhehebu,Tuna kazi kubwa sana TZ
Uoga wako ni shida yako mwenyewe, usisingizie nyerere, hakuwa katili kama ghadafi, lkn walibya waliandamana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania especially wasanii, waandishi wa habari, wanaharakati wa haki za binadamu na interested groups, kesho tuungane kwa pamoja na majirani zetu Kenya kwenda kwenye ubalozi wa Uganda ili kushinikiza uongozi wa kidikteta chini ya rais Yoeli Kaguta Museven umuachie msanii wa nyimbo ambaye pia ni mbunge Mh. Robert Kaygulanyi (Bobi Wine) akatibiwe.

Leo kwao kesho kwetu.
==================
A group of Kenyans are planning a march to the Ugandan embassy in Nairobi protesting the detention of Kyadondo East member of Parliament, Robert Kyagulanyi Ssentamu.

The Kenyans led by photojournalist cum activist, Boniface Mwangi say they will march to the Ugandan Embassy in protest on Wednesday, August 22.

Mwangi, while responding to a tweet showing pictures of another protest in Busia Kenya, said he was proud of Kenyans in the west, adding; Thank you for leading on this. Nairobi we are on for #FreeBobiWine on Wednesday, 22nd August. We are marching to the Ugandan Embassy on Riverside drive. The organising team @TeamCourageKE @alaminkimathi@lawsocietykenya will share more details.

It is key to note however, that there was no protest in Busia Kenya, as the pictures shared were picked off an unverified BBC Kenya page which has been set up with Bobi Wine related content.

Meanwhile, the police and military in Kampala were on Monday afternoon involved in running battles with people in the city centre who were protesting against the detention of Kyadondo East Member of Parliament Robert Kaygulanyi also known as Bobi Wine.
Wapambane na hali zao kama tunavyopambana na za kwetu huku
 
Kwani Kenya wanaandama kwa sababu ipi, afterall nimesema na interested groups if you're not interested you keep quite.
Kenya hawajaandamana, hata hujasoma habari vizuri, wanaplan kuandamana kesho, hayo maandamano ya kenya magharibi haikuwa kweli, ndio article uliyoweka inavyosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yatatuuwa..

Sio kwamba hatuwezi...ila yatatuuwa mashetani hayo.
 
Watanzania especially wasanii, waandishi wa habari, wanaharakati wa haki za binadamu na interested groups, kesho tuungane kwa pamoja na majirani zetu Kenya kwenda kwenye ubalozi wa Uganda ili kushinikiza uongozi wa kidikteta chini ya rais Yoeli Kaguta Museven umuachie msanii wa nyimbo ambaye pia ni mbunge Mh. Robert Kaygulanyi (Bobi Wine) akatibiwe.

Leo kwao kesho kwetu.
==================
A group of Kenyans are planning a march to the Ugandan embassy in Nairobi protesting the detention of Kyadondo East member of Parliament, Robert Kyagulanyi Ssentamu.

The Kenyans led by photojournalist cum activist, Boniface Mwangi say they will march to the Ugandan Embassy in protest on Wednesday, August 22.

Mwangi, while responding to a tweet showing pictures of another protest in Busia Kenya, said he was proud of Kenyans in the west, adding; Thank you for leading on this. Nairobi we are on for #FreeBobiWine on Wednesday, 22nd August. We are marching to the Ugandan Embassy on Riverside drive. The organising team @TeamCourageKE @alaminkimathi@lawsocietykenya will share more details.

It is key to note however, that there was no protest in Busia Kenya, as the pictures shared were picked off an unverified BBC Kenya page which has been set up with Bobi Wine related content.

Meanwhile, the police and military in Kampala were on Monday afternoon involved in running battles with people in the city centre who were protesting against the detention of Kyadondo East Member of Parliament Robert Kaygulanyi also known as Bobi Wine.
Mkuu unataka bomba la mafuta lipitie Egypt eeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom