Tukio gani ulifanya shuleni mpaka leo haujalisahau?

King of forest (forest ninja) maarufu kuna muda tulisalimu amri ikawa tukiitwa paredi kama tupo wanafunga roll call wanaprove kama ni sisi physically...
 
Shule niyosoma secondary ilikuwa na A-level, mimi nikiwa form 2 kuna jamaa alikuwa form 6 miaka hiyo ya mwanzo mwa mwaka 2000 wanafunzi wa form 6 walikuwa wakubwa sana yaani unaweza dhani ni mwalimu, sasa kuna jamaa wa form 6 akaenda form one akijifanya mwalimu wa Math alikuwa kavaa kiraia tu shule ilikuwa kubwa sana ufupisho wake ni GESECO wataalamu wa kanda ya ziwa watakuwa washaijua form one ndio walikuwa wameingia mimi hapo niko form 2 nikiwa na umbo dogodogo baada ya jamaa kuwafundisha akawapa maswali nikatumwa kwenda kukusanya madaftari weeeeeeeee zile counter book zote tulipita nazoooooo zaid ya 40.
 
Shule ya msingi hiyo nilikua mkorofi hatar kisa baba angu alikua mwalimu mkuu msaidizi,huku na huku nikakurupuana na jamaa mmoja wacha tuzitwange sitosahau nilipigwa ngumi ya sikio maumivu yake sitoyasahau mpaka leo,sema na mie nilimuotea mchizi nikamtwanga kokoto mbili za kichwa alitokwa damu hatar baada ya hapo tukala bakora kesi ikaisha ivo
 
Niliaepaga na kibao cha SPEAK ENGLISH asubuhi tu! Nikatangaza darasani kwamba mimi nimeamua kuwa yetu yaani kufa kea ajili ya swahili speaker wote.

Kilichotokea asubuhi yake Yesu hakuingilia akaniachia ugomvi na staff nzima yana ONE MAN loh!
 
Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha hapo juu katika harakati za kupata elimu kuna kukutana na watu wengi sana wakiwemo watoto watukutu, wakishua na wakati mwingine kujifunza tabia isiyo njema kwa sababu ya kufuata mkumbo!! tililika hapa ni kisa/tukio gani hautasahau katika maisha yako ya shule.
Kuiba shamba zima la matikiti lililolimwa na shule kwa ushirikiano na wataalamu wa kilimo wa Kijiji bahati mbaya nikadakwa nikamzingizia mkuu kanituma kumbe na yeye yupo apo DUUUH Ilkuwa Bonge Moja la Msala
 
Makongo ya kipingu mwalimu wa nidhamu marhum miraj kwa kushirikiana na jamaa wa mtaan tuliiba mita ya umeme jamaa baada ya kushtukia ukapigwa msako kukulukukulu ikakutwa praiz ndan ya chumba chetu maelezo yaliyotolewa hayakueleweka tukachimbishwa shimo lenye upana wa futi sita kwa sita kimo ukisimama usionekane unapewa full zana futi ya kupimia chepe sururu na nyinginezo kipimo hakitakiw kuzid wala kupungua
 
Makongo ya kipingu mwalimu wa nidhamu marhum miraj kwa kushirikiana na jamaa wa mtaan tuliiba mita ya umeme jamaa baada ya kushtukia ukapigwa msako kukulukukulu ikakutwa praiz ndan ya chumba chetu maelezo yaliyotolewa hayakueleweka tukachimbishwa shimo lenye upana wa futi sita kwa sita kimo ukisimama usionekane unapewa full zana futi ya kupimia chepe sururu na nyinginezo kipimo hakitakiw kuzid wala kupungua
Miraji nilisikia katangulia mbele za haki jamaaa alikua kauzu yule alisha wahi kutupa adhabu kusafisha lile bwawa la samaki sitasahau
 
Back
Top Bottom