Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,560
Logical non sequitur.kama wanasayansi miaka ya hivi karibuni wamevumbua kifaa ambacho wanatumia kwenye mikutano ya kimataifa, anaetoa hotuba anaongea kwa lugha yake lakini wasikilizaji katika headphone zao kila mtu anapokea katika lugha yake, hujiulizi endapo binadamu amefanya hili karne ya 21, je si mungu anawataarifu waja wake kwamba bado hamjajua chochote ? kwa sababu yeye alishatumia hiyo teknologia miaka zaidi ya 2000 iliyopita kwa watu wake kueneza neno lake ? kupitia kunena kwa lugha ? tena bila mitambo yoyote ?